Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 343
Niko mwanza mkuuMie najua dawa ya kienyeji.
Ila kabla sijakushauri dawa naomba nikuulize uko mjini au kijijini? maana kama uko katikati ya mji mfano hap Dar huwezi kupata hiyo dawa
Hospitali tulifika,wakampatia dawa ya kutuliza maumivu so nimeona nitumie platform hii pia kupata msaada zaidiPole na nakushauri umuone mtaalamu..Yaani Daktari
Mwanza mjini au nje ya mji?Niko mwanza mkuu
Imeanza siku za jirani au ni tokea kitamboHospitali tulifika,wakampatia dawa ya kutuliza maumivu so nimeona nitumie platform hii pia kupata msaada zaidi
Mjini,ila hii kazi naweza ifanya mkuu,ule uyoga huwa unakua mbichi lkn,so unauacha kwanza ukauke kisha ndio uuchome ama unauchoma ht ukiwa ktk ubichi wake mkuu?Mwanza mjini au nje ya mji?
Enewei, dawa yenyewe, umeshawahi kuona magogo ya miti yaliyoanguka au hata kama limesimama, kuna vitu kama vile uyoga unakuwa umeganda kwenye hiyo miti au magogo, chukua kipande chake, choma, halafu anuse.
Shukrani,i hope inatibu kbskuna dawa inaitwa ephedrine
inakuwa ya kupuliza. Hii hubana mishipa ya damu na kuzuia uvujaji wa damu. Ila ni muhimu kucheki masuala kama pressure kabla ya kutumia.
Umeelewa lakini? sio uyoga kabisa kabisa! ni yale yanotokezea kwenye magogo kama vile uyoga uyoga. Halafu kama uko Mwanza jaribu kutoka nje ya mji utapata.Mjini,ila hii kazi naweza ifanya mkuu,ule uyoga huwa unakua mbichi lkn,so unauacha kwanza ukauke kisha ndio uuchome ama unauchoma ht ukiwa ktk ubichi wake mkuu?
sorry bosi hiyo ni kwaajili ya pua kuziba na si kutoka damu.Shukrani,i hope inatibu kbs
ShukraniInapoanza kumtoka aweke barafu kwenye paji la uso huwa inakata,nilikuwa Napata sana hii shida wakati nilipokuwa maeneo flani Kigoma,nakumbuka walikuwa wanasema inasababishwa na hali ya hewa,sasa sijui ki sayansi inasababishwa na nini..?
Nimeelewa vyema kbs,unatumia kwa muda gani,na unavuta mara ngapi mkuu?Umeelewa lakini? sio uyoga kabisa kabisa! ni yale yanotokezea kwenye magogo kama vile uyoga uyoga. Halafu kama uko Mwanza jaribu kutoka nje ya mji utapata.