Nini dawa ya majirani wambea (snitches)

Nini dawa ya majirani wambea (snitches)

Kama ni us wazi ya kawaida ni Ashki tu zinawasumbua, uki pendwa na usipogonga hata wawili watatu unaonekana chokostiki...tafuta kiongozi wao ndio uanze nae,
Sawa mkuu kwa hiyo nianze na kimbelembele kwanza nipige show wengine watanipa heshima
 
Uwa sio picha nzuri machoni kwa watu kuonekana unabadili wasichana/wanawake kila wakati

Jarbu kuchunguza kama wewe binafsi upo sahihi vinginevyo hao unaowaita snitches ni wokozi wako.
 
Watafune wote hao wamama wambea uone kama utasemwa tena, hakikisha unawatafuna kisawasawa hadi mifupa.
 
Wahenga 2alisema kwamba kisemqalo nlipo na kma halipo laja kwahiy ww yaweza kuwa unapitanao wa tot wa2 kwahiy mm nilikuwa na kushaur kwamba kma nikwel uacha na kma ciyo ukwer uko raz upitenao make wanakusingizia . Sasa bc. Achana na mambo ya kitot ww saiv nim2 mkubwa
 
Snitch yeyote mfuate live kama kuna umbea ameongea. Mi kuna mama aliongeaga umbea nikamchukua akiyemwambia nikamfuata na kumuuliza. Aliponiona na yule MTU ile nafika kwake alinisalimia Shikamoo japo mama MTU mzima
 
Back
Top Bottom