Nini dawa ya tatizo langu

Nini dawa ya tatizo langu

Tanya

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
340
Reaction score
159
Nimekuwq Naumwa ugonjwa tumbo linauma kila ninavyotaka kwenda haja kubwa na nahisi kuharisha lakini nikifika msalani ni kiduchu sana kinatoka, nikamwona mtaalam mmoja duka la madawa akanipa vidonge vya Erythromicin baada ya kuanzia kumeza vidonge hivyo nahisi kuna ugonjwa mpya umeamka. Tumbo linachoma kama kuna moto tumboni linauma mno kila nikimeza vidonge hivyo.
Swali ni kuwa ni ugonjwa mpya umetokea au ni reaction ya dawa???
kama ni ugonjwa mpya nn nitumie mbadala ili nipone ugonjwa huu??? maana dawa za hospitality sipendi kumeza tena.
asanteni wataalam wangu wa afya
 
Back
Top Bottom