Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Daah confortability is a relative term.naunga mkono, cc sawa na Carina TI. sema kimwonekano na body na comfortability premio iko mawinguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wife toka last week anataka nimnunulie Toyota Premio ya 2007. Nimeiangalia hii gari engine yake ni 1990 CC, D4.
Kuna kipindi mafundi wengi walikuwa wanaziogopa sana engine za D4. Je wadau mnafahamu nini uzuri au ubaya wa engine hizi?...
Mimi binafs nakushaur mchukulie yenye engine 1nz ambayo ni cc 1490 kama sikosei,,kimuonekeno hazina utofauti saana kama sio mdadisi ila kama n mdadis atagundua kwenye taa za nyuma.
Hiyo gar n nzur saaana na ulaji wake wa mafuta n mzur mno! Mm ninayo mwaka wa 3 saiz japo ni ya 2005 napeta nayo kwa raha! Mfano kutoka dar had mbeya tukuyu natumia mafuta yasiyozid 150k. Niko tayar kukosolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes! Kuna magari si ya kuulizauliza unaangalia tu muonekano kama umeipenda unanunua tu. Premio haina stress!Ungeuliza matatizo ya Passo tungekushauri lakini Kwa gari kama premio haina haja ya kujiuliza mara2.
Premio sio gari kimeo hata Kwenye list ya Magari Vimeo haipo
Mzee Baba, kuna jamaa aliandika makala kuhusu D4 hapo Uganda, hebu ifwate link uipitie kidogo,
Why do mechanics dislike D-4 engines, Toyota Voxy?
The D4 (Direct Four) Toyota engine and its companion technology the VVTi (Variable Valve Timing intelligent) have been demonised and declared a no go area by some drivers and mechanics when it fails.www.monitor.co.ug
Ungeuliza matatizo ya Passo tungekushauri lakini Kwa gari kama premio haina haja ya kujiuliza mara2.
Premio sio gari kimeo hata Kwenye list ya Magari Vimeo haipo
Nashukuru Mwambyetete. Kwa matumizi ya mjin lita moja inatumika kwa kms ngapi? Mkoani vipi speed yake?ina nguvu?
Vp zile G 1980 za valvematic engine consuption yake ikoje townKi ukweli mjini inaweza fika km 10 nadhan kwa lita,kwa upande wa speed ziko vizur saaana japo kwenye milima zina nguvu kulingana na uwezo wake lakin ikiishika tambalale utaipenda!! Kwa kifup ni nzur na kama vip chukua premio x yenye cc 1750 au G yenye cc 19.. hapo sikumbuk vizur hizo mbili zina engine kubwa kidogo japo zote ni four!!
Kikubwa ujue premio zina ukubwa wa engine aina tatu,premio F-cc 1490, premio G1980 na premio X-cc 1790 ko ni wew ipi inayokufaa!! Mm natumia Package F
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp zile G 1980 za valvematic engine consuption yake ikoje town
Niongezee nyama kidogo mkuu kama hutojali
Hii ya nini hapa kwenye magariNimekosa usingizi kabisa kwa haya nayosikia toka kwa wakwe zangu muda huu
"Bro, duniani kuna watu wana roho mbaya sana.Usiku huu nmeshtuka usingizini nawasikia wakwe wanazungumza chumbani kwao kuwa mimi nitakaa kwao na mke wangu mpaka lini. Hilo limeniuma sana maana hawa ni kama wazazi kwanini wanakuwa na roho mbaya hivyo. Nimemuoa binti yao mwaka 2015 wakatupa room...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app