mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Kama ni ya kutembelea tu mjin sio safar ndefu chukua ya 1.5L kama ni safari safar ndefu atleast yenye 1.8L japo 2.0L inakula mafuta vizur kuliko hiyo ya 1.8L sema ni D4 ...na sijajua suala la mafundi maeneo ulipo
Ndo uzuri wa D4 uko hapa. Ni efficient machine ila inataka service kwa wakati na mafuta masafi, unleaded au premium kama ni petrol na hata kama ni Diesel yawe mafuta safi.
Sent using Jamii Forums mobile app