Kama ni ya kutembelea tu mjin sio safar ndefu chukua ya 1.5L kama ni safari safar ndefu atleast yenye 1.8L japo 2.0L inakula mafuta vizur kuliko hiyo ya 1.8L sema ni D4 ...na sijajua suala la mafundi maeneo ulipo
Mafuta safi kivip,hebu fafanua mkuuNdo uzuri wa D4 uko hapa. Ni efficient machine ila inataka service kwa wakati na mafuta masafi, unleaded au premium kama ni petrol na hata kama ni Diesel yawe mafuta safi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli lakini nadhani unapaswa kuelewa vizuri mfumo wa d4 na complications zake. Hata uwe na service ya aina gani lazima gari ichokonolewe mara kwa mara, haikwepekiUnajua kiuhalisia mpaka ikifika kipindi injini ya gari inahitaji kuchokonolewa na fundi basi ni wazi kiwa gari yako imeshachoka. Ukinunua gari mwenyewe toka Japan na ukawa unaitunza vizuri kwa service za uhakika na kwa wakati, basi huna haja ya kuhofia hiyo D4, hautahitaji fundi wa kuigusa.
Mafuta safi kivip,hebu fafanua mkuu
Umeongea fact, D-4 haitaki mafuta na lubes za kuunga unga!Mimi sio mtaalamu ila kwa lugha rahisi ni kwamba mafuta ya petrol ambayo ni premium yana kiwango kikubwa cha octane ambayo husaidia engine kuwa safi. Zinakuwa zimeongezwa vitu vya kuifanya engine ibaki safi wakati inachoma mafuta. Vituo kama Puma na Total wanakuwa na unleaded fuel ambayo ni nzuri. Alternatively unaweza kuwa unatembea na zile additives ukiongeza mafuta hasa vituo ambavyo sio maarufu sana kwa mafuta kama haya unaweka. High performance na efficient engines kama D4 zinahitaji mafuta ya hivi na service ya oil kama full synthetic ili zisisumbue. Faida zake ni kwamba unapata engine efficient yenye nguvu na inatumia mafuta kiasi kidogo ukilinganisha na engine ya ukubwa kama wake isiyo D4.
Wataalam zaidi wataongeza au kufafanua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafs nakushaur mchukulie yenye engine 1nz ambayo ni cc 1490 kama sikosei,,kimuonekeno hazina utofauti saana kama sio mdadisi ila kama n mdadis atagundua kwenye taa za nyuma.
Hiyo gari ni nzuri sana na ulaji wake wa mafuta n mzuri mno! Mimi ninayo mwaka wa 3 saizi japo ni ya 2005 napeta nayo kwa raha! Mfano kutoka Dar had Mbeya Tukuyu natumia mafuta yasiyozid 150k. Niko tayari kukosolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sn kaka tunashukuru kwa elimu hiiMimi sio mtaalamu ila kwa lugha rahisi ni kwamba mafuta ya petrol ambayo ni premium yana kiwango kikubwa cha octane ambayo husaidia engine kuwa safi. Zinakuwa zimeongezwa vitu vya kuifanya engine ibaki safi wakati inachoma mafuta. Vituo kama Puma na Total wanakuwa na unleaded fuel ambayo ni nzuri. Alternatively unaweza kuwa unatembea na zile additives ukiongeza mafuta hasa vituo ambavyo sio maarufu sana kwa mafuta kama haya unaweka. High performance na efficient engines kama D4 zinahitaji mafuta ya hivi na service ya oil kama full synthetic ili zisisumbue. Faida zake ni kwamba unapata engine efficient yenye nguvu na inatumia mafuta kiasi kidogo ukilinganisha na engine ya ukubwa kama wake isiyo D4.
Wataalam zaidi wataongeza au kufafanua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaD-4 sehemu ya wamiliki wazikosea kutembelea huku taa inawaka ya mafuta au mafuta kuisha kabisa ila kama taa haita waka waka uta dumu nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Madini makubwa sanaMzee Baba, kuna jamaa aliandika makala kuhusu D4 hapo Uganda, hebu ifwate link uipitie kidogo,
Why do mechanics dislike D-4 engines, Toyota Voxy?
The D4 (Direct Four) Toyota engine and its companion technology the VVTi (Variable Valve Timing intelligent) have been demonised and declared a no go area by some drivers and mechanics when it fails.www.monitor.co.ug
Enbu nieleweshe hizo 1.5L zinamaana gan??Kama ni ya kutembelea tu mjin sio safar ndefu chukua ya 1.5L kama ni safari safar ndefu atleast yenye 1.8L japo 2.0L inakula mafuta vizur kuliko hiyo ya 1.8L sema ni D4 ...na sijajua suala la mafundi maeneo ulipo
1500ccEnbu nieleweshe hizo 1.5L zinamaana gan??