Kiulaya ulaya ni nzuri coz inaonesha unaimpact kwa jamii so inavutia hata watu na makampuni mengine kufanya kazi na ww....
Unaweza hata ukaombe mkopo bank...
Kibongobongo sidhani kama inafaida yyte...,
Mi naona watu watakuwa wanakufatilia ili either wakitukane au wakujue kiundani then basi hakuna cha zaidi
Ndio ila hao followers kweny account za kununua wengi hawapo kwenye eneo ulilopo na pia uwezekano wa kupata bots badala ya followers ni mkubwa. Labda uuziwe account iliyodukuliwa ya hapa hapa nchiniKwa munajili wako, kibiashara ni muhimu zaidi kiongozi au sio?
Ndio ila hao followers kweny account za kununua wengi hawapo kwenye eneo ulilopo na pia uwezekano wa kupata bots badala ya followers ni mkubwa. Labda uuziwe account iliyodukuliwa ya hapa hapa nchini
Unamjua au.. Maana utapigwa za pua uku unajionaKuna jamaa anataka kuniuzia akaunti ina 100k kwa laki na nusu hii imekaaje aisee
Habari wana Jf,naombeni mnijuze umuhimu wa Instagram page yenye followers wengi let say kuanzia 10k to 100k hii hasa kwa business page. Mkinijuza ma umuhimu mengi na mimi naweza nikafanya mpango hata wa kununua hizo page. Shukrani sana.
Mimi ninataka kuitumia kwa biashara yangu kiongozi jee inaweza nisaidia hapo?Baadhi hasa majuu wanatumika na makampuni mbali mbali kutangaza bidhaa zao ikiwemo nguo viatu furnitures etc.
Baadhi wametajirika na kuboresha maisha yao kwa kiwango kikubwa sana.
Mimi ninataka kuitumia kwa biashara yangu kiongozi jee inaweza nisaidia hapo?
Kuna jamaa anataka kuniuzia akaunti ina 100k kwa laki na nusu hii imekaaje aisee
Ofcourse kiongozi what I see biashara yangu wateja wangu wengi ni kutoka mitandaoni aiseee
[emoji23][emoji23] Acha tu mkuu... Unaweza ukapewa iyo account uka kaa nayo siku 2 tu.. badae aka irudishaa na hela akachukuaSimjuwi kiongozi ila hiyo page anayotaka kuniuzia kankonyesha tayari yeye yupo Moshi mm nipo Dar hivi anaweza kunipivaje hapo kiongozi?
Kuna jamaa anataka kuniuzia akaunti ina 100k kwa laki na nusu hii imekaaje aisee
Unamjua au.. Maana utapigwa za pua uku unajiona
Kama nakuona unavyokuja hapa ukilialia baada ya kupigwa [emoji3][emoji16]Simjuwi kiongozi ila hiyo page anayotaka kuniuzia kankonyesha tayari yeye yupo Moshi mm nipo Dar hivi anaweza kunipivaje hapo kiongozi?