Nini faida ya Instagram Page yenye Followers wengi?

Kiulaya ulaya ni nzuri coz inaonesha unaimpact kwa jamii so inavutia hata watu na makampuni mengine kufanya kazi na ww....

Unaweza hata ukaombe mkopo bank...

Kibongobongo sidhani kama inafaida yyte...,
Mi naona watu watakuwa wanakufatilia ili either wakitukane au wakujue kiundani then basi hakuna cha zaidi
 
Kwa munajili wako, kibiashara ni muhimu zaidi kiongozi au sio?
Wengi huwa nazo kibiashara hasa wasanii na public figures au kuuza bidhaa mtandaoni. Au kujiona maarufu hata sio maarufu hivyo.
 
Unazungumziaje kibiashara kiongozi?
Kiulaya ulaya ni nzuri coz inaonesha unaimpact kwa jamii so inavutia hata watu na makampuni mengine kufanya kazi na ww....

Unaweza hata ukaombe mkopo bank...

Kibongobongo sidhani kama inafaida yyte...,
Mi naona watu watakuwa wanakufatilia ili either wakitukane au wakujue kiundani then basi hakuna cha zaidi
 
Kwa munajili wako, kibiashara ni muhimu zaidi kiongozi au sio?
Ndio ila hao followers kweny account za kununua wengi hawapo kwenye eneo ulilopo na pia uwezekano wa kupata bots badala ya followers ni mkubwa. Labda uuziwe account iliyodukuliwa ya hapa hapa nchini
 
Kuna jamaa anataka kuniuzia akaunti ina 100k kwa laki na nusu hii imekaaje aisee
Ndio ila hao followers kweny account za kununua wengi hawapo kwenye eneo ulilopo na pia uwezekano wa kupata bots badala ya followers ni mkubwa. Labda uuziwe account iliyodukuliwa ya hapa hapa nchini
 
Baadhi hasa majuu wanatumika na makampuni mbali mbali kutangaza bidhaa zao ikiwemo nguo viatu furnitures etc.

Baadhi wametajirika na kuboresha maisha yao kwa kiwango kikubwa sana.

Habari wana Jf,naombeni mnijuze umuhimu wa Instagram page yenye followers wengi let say kuanzia 10k to 100k hii hasa kwa business page. Mkinijuza ma umuhimu mengi na mimi naweza nikafanya mpango hata wa kununua hizo page. Shukrani sana.
 
Baadhi hasa majuu wanatumika na makampuni mbali mbali kutangaza bidhaa zao ikiwemo nguo viatu furnitures etc.

Baadhi wametajirika na kuboresha maisha yao kwa kiwango kikubwa sana.
Mimi ninataka kuitumia kwa biashara yangu kiongozi jee inaweza nisaidia hapo?
 
Inategemea na aina ya biashara yako na wateja wako. Kama ni biashara ambayo unaweza kupata wateja mitandaoni hakuna ubaya Mkuu.
Ofcourse kiongozi what I see biashara yangu wateja wangu wengi ni kutoka mitandaoni aiseee
 
Back
Top Bottom