Nini faida ya Instagram Page yenye Followers wengi?

Ooh vizuri..ila kama wahitaji followers (wateja)ni better kuswitch accnt iwe ya biashara kwa kufanya sponsor ad..hapo utaongeza followers kirahisi na wateja pia
Kwa ajili ya biashara yangu madam. Kujuwa biashara yangu jaribu kupitia instagram account yangu tawa_water_proffesional
 
Ook sasa unanishauri nifanyeje maana lengo langu ni matangazo yangu kuwafikia watu wengi
Usinunue accnt mkuu..hao wanaouza baadae hua wanazihack tena kwa kuzirudisha kwenye umiliki wao...be careful
 
Sponsor ads si huwa zina malipo zile?
Ooh vizuri..ila kama wahitaji followers (wateja)ni better kuswitch accnt iwe ya biashara kwa kufanya sponsor ad..hapo utaongeza followers kirahisi na wateja pia
 
Unatafuta ugomvi na le mutuz..hahahha
 
Baadhi hasa majuu wanatumika na makampuni mbali mbali kutangaza bidhaa zao ikiwemo nguo viatu furnitures etc.

Baadhi wametajirika na kuboresha maisha yao kwa kiwango kikubwa sana.
Kibongo bongo haiwezekani?? Kaka le mtumboz kule yeye anasema ukimtukana ye anaingiza pesa...bado cjamuelewa
 
Reactions: BAK
Ooh vizuri..ila kama wahitaji followers (wateja)ni better kuswitch accnt iwe ya biashara kwa kufanya sponsor ad..hapo utaongeza followers kirahisi na wateja pia
Hivi kufanya hio sponsored Ads ni gharama sana? Na ni lazima uende kwenye kampuni wakufanyie hivyo au?
 
Sio gharama sana hua inacost kwenye 30k na kuendelea hapo inategemea unataka tangazo lako lionekane kwa muda gani.

Sio lazima uende kwa kampuni waweza fanya mwenyewe as long as unacredit card
Hivi kufanya hio sponsored Ads ni gharama sana? Na ni lazima uende kwenye kampuni wakufanyie hivyo au?
 
Simjuwi kiongozi ila hiyo page anayotaka kuniuzia kankonyesha tayari yeye yupo Moshi mm nipo Dar hivi anaweza kunipivaje hapo kiongozi?
Shida ya kununua mapage ni moja.
Hujui walichokuwa wanafollow hao followers kwa sababu yeye keshafuta almost posts zote na kakubakishia chache anakuuzia wewe. Ukiitumia wewe ni hasara, mfano yeye alikua anapost umbeya na udaku udaku akapata followers wakina mwajuma ndala ndefu na vivulana vya mjini. Wakajaa huko. Au alikua anapost wanawake wakitingisha makalio na mapozi ya nusu uchi. Akawajaza madogo wanaobalehe.

Wewe unakuja kuwauzia viatu vya 50,000 au laki kati ya hao wote hakuna atakayekuwa mteja wako wa maana. Wao wanachojua ni hela ya bundle tu. Utakuta mtu ana followers 3000 lakini akipost bidhaa analikes 11.

Interest 2 watakaoulizia ulizia kisha basi. Hakuna utakayeclose naye deal.

Kuna manzi mmoja namjua. Alikua anajipost sana kavaa nusu uchi na anaonekana kwenye video za maunderdog kadhaa za music. Kifupi ni malaya tu wa town. Akapata followers kibao. Sasa hivi anaiuza ile page.

Unatarajia nini hapo.
 
Sio gharama sana hua inacost kwenye 30k na kuendelea hapo inategemea unataka tangazo lako lionekane kwa muda gani.

Sio lazima uende kwa kampuni waweza fanya mwenyewe as long as unacredit card
Mimi ninayo kadi ya kununua vitu mtandaoni inakuaje kuaje je unaweza sema labda upate followers wa kutoka sehemu fulani i.e Dar es salaam?
 
Hapo kweli changamoto kiongozi
 
Yes waweza itumia..inawezekana
Mimi ninayo kadi ya kununua vitu mtandaoni inakuaje kuaje je unaweza sema labda upate followers wa kutoka sehemu fulani i.e Dar es salaam?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo akili yake anaijua mwenyewe.

Kibongo bongo haiwezekani?? Kaka le mtumboz kule yeye anasema ukimtukana ye anaingiza pesa...bado cjamuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…