GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
Mkuu kabla ya kuwa na blog naomba nisome kwa makini.Safi sana mkuu, nimeipenda hii
Kwanza niseme tu kuwa na blog ni njia nzuri yakutengeneza passive income.
Unaweza kutengeneza hadi $500 - $1000 a month.
Kwa kifupi ukiwa na strategy nzuri hiko kiasi ni rahisi kufikia.
Sasa twende taratibu.
Ili blog yako iingize hela kwanza inabidi upate AdSense account toka Google.
AdSense kwa lugha rahisi maana yake umeruhusu google waweke matangazo ya biashara kwenye blog yako.
Na ili google wakupatie AdSense inabidi blog yako iwe imekidhi vigezo.
• haina makala/post zilizo tumika sehemu nyingine.
• umeandika makala zakutosha kwenye blog yako. At least 30 posts.
• makala unazopost kwenye blog yako zina-solve matatizo ya visitors.
Ukiweza kutimiza hivyo vigezo basi unaweza ku-apply for AdSense na ukapata kirahisi.
Naomba niende ndani zaidi.
Baada ya kupata AdSense na matangazo kuonekana kwenye blog yako inabidi uelewe je AdSense itakulipa kiasi gani kwa kila visitor?
Kufahamu hili kwa njia rahisi let's do the math.
Let's assume blog yako inapata viewers 1000 kwa siku.
Katika hao viewers 1000 wanao-click matangazo kwenye blog yako ni 200
Pia lets assume kila click inathamani ya $0.10.
Kwahiyo 200 * 0.10
= $20
Hiyo $20 ndiyo unatengeneza kwa hao 1000 viewers.
Kwahiyo kama unauwezo wakupata viewers 30000 kwa mwezi maana yake umetengeneza $600
Lakini kama nilivyosema awali you need guidance.
Drop me a message if you want to learn more.