Ngomo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 200
- 95
Watu wengi wanapenda kuoa wanawake bikira, wakati unapomuoa bikira yake inakuwepo ukishambikiri anakuwa sio bikira tena. Je kuna haja ya kuhangaika na mabikira wakati bikira zao hazidumu hata week moja? Si bora kutafuta yoyote yule aliye tulia na mnayependana kwa wakati huo?