MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Si mara zote bikira ni ishara ya kujitunza. Wengine hujisajili tiGo kabla ya kubadilisha SP mpya.
Kuna wakati - miaka miiiiingi nyuma - bikira zilikuwa sifa kwa pande zote mbili. Siku hizi hata baadhi ya wasichana huona aibu kujitambulisha kuwa wapo bikira, na baadhi ya wavulana hawapendelei usumbufu wa kubikiriana, kulizana, kuhangaishana.
Hata hivyo, kwa wale walevi wa bikira, siku hizi zipo tele atifisho, kiasi kwamba unaweza kumbikiri huyo kila mwezi mara moja.