rudi na nyanya za kutosha
Si mara zote bikira ni ishara ya kujitunza. Wengine hujisajili tiGo kabla ya kubadilisha SP mpya.
Kuna wakati - miaka miiiiingi nyuma - bikira zilikuwa sifa kwa pande zote mbili. Siku hizi hata baadhi ya wasichana huona aibu kujitambulisha kuwa wapo bikira, na baadhi ya wavulana hawapendelei usumbufu wa kubikiriana, kulizana, kuhangaishana.
Hata hivyo, kwa wale walevi wa bikira, siku hizi zipo tele atifisho, kiasi kwamba unaweza kumbikiri huyo kila mwezi mara moja.
Sory hapa ni wapi tena sijui nimepotea njia. Anyway Bikira ndo ishu bhana.
safisana mkuu,maelezo yako yanajitosheleza kabisa kuhusu ubikira.bikira ni indication ya kwamba huyu mtu ana discipline na pia anaweza shinda vishawishi.....qualities ambazo u desire in a wife.
rudi na nyanya za kutosha
Si mara zote bikira ni ishara ya kujitunza. Wengine hujisajili tiGo kabla ya kubadilisha SP mpya.
Kuna wakati - miaka miiiiingi nyuma - bikira zilikuwa sifa kwa pande zote mbili. Siku hizi hata baadhi ya wasichana huona aibu kujitambulisha kuwa wapo bikira, na baadhi ya wavulana hawapendelei usumbufu wa kubikiriana, kulizana, kuhangaishana.
Hata hivyo, kwa wale walevi wa bikira, siku hizi zipo tele atifisho, kiasi kwamba unaweza kumbikiri huyo kila mwezi mara moja.
mmh muonee huruma naused wake jamaniiiiiiiiiiiiAcha kujibembeleza kwa kupata Used wako.BIKRA INA RAHA Yake bhana.
mtasema sana vidume ila kujua what s in womens mind haiwezekani binafsi ..simkumbuki hata kidogo mtoa bikirana unaweza mtoa mtu bikira akatoka nje sikumoja akakutana na mambo ya ukweli hapo utampoteza , kwanza hana exp na kazi za nje na inawezekana alikoenda ndiko kunakomfaa zaidi hapo ndo utalia na new product .infact bikira si kigezo/kipimo cha uaminifu kwani hata ambao hawana si kuwa hawakuwanazo ila zilitolewa na huyo utakayekuwa nae haimaanishi atakuwa nayo mileleAngalizo: zipo za kichina
mmmhh.......hili somo linaeleweka kweli??? Yaani mtu atoe tigo alafu njia ya kawaida ibaki salama?? May be!!!
Moja ya faida ya mwanamke bikra ni kwamba wewe ukiwa mwanaume wa kwanza kwake c rahisi xn mwanamke kukuacha ww mwanaume, na atakukumbuka coz ww ndo ulimfundisha mapenzi'.....daaah! Ila asikwambie m2 aliyegundua ki2 mapenzi ame2sababishia matatizo xn