Nini faida ya manyoya katika dashboard?

Vocal Fremitus

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
1,287
Reaction score
6,648
Wakuu kumeibuka fashion ambayo naiona ina trend sana mjini. Huu mtindo wa kuweka urembo wa manyoya katika dashboard mpaka almost dashboard kama yote inafunikwa! Wanaojua faida ya hii kitu tunaomba maelekezo.


 
Wakuu kumeibuka fashion ambayo naiona ina trend sana mjini. Huu mtindo wa kuweka urembo wa manyoya katika dashboard mpaka dashaboard almost kama yote inafunikwa! Wanaojua faida ya hii kitu tunaomba maelekezo.View attachment 2640916
Uchafu huu, usiweke, hayo vinyoya vidogo vinatoka sana baada ya miezi 2 au 3 angalia ndani ya gari lako au nguo zako vinywele vidogo vidogo vingi utaviona vinasambaa kwenye viti hasa vya mbele na ukikaa vinashika nguo yako.. Gari inakuwa chafu vinyoa kibao
 
Naona pia kiafya sio nzuri, vinyoya vikiingia kwenye mfumo wa koo vinaweza leta shida ya upumuaji huko mbele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…