Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Wakuu kumeibuka fashion ambayo naiona ina trend sana mjini. Huu mtindo wa kuweka urembo wa manyoya katika dashboard mpaka almost dashboard kama yote inafunikwa! Wanaojua faida ya hii kitu tunaomba maelekezo.