nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Kufuata mkumbo na zaidi sana ni maigizo ya usomi na mfano wa PHD za heshima.Habari,
kuna hii destruri ya madiwani kuvaa nguo aina ya majoho wawapo kwenye vikao vya halmashauri.
Binafsi sioni faida yao kuvaa hivyo kwasababu halmashauri zenyewe changamoto zipo vilevile miaka nenda rudi.
hoja yangu ni kuwa hayo manguo hayana faida kuvaliwa, na laiti yangekuwa na faida, basi tungeona lami hadi vichochoroni, maana yana faida,
ila hayana faida, ndio maana hatuoni lami hadi vichochoroni
kwanini wasivae tu nguo za kawaida kama wezao wa bungeni
nguo zenyewe ni kama hizi
Wahitimu wa fedha na rasilimali watuHabari,

Habari,

Kwani ukitazama akili za madiwani huwa unaona ziko sawa?Habari,
kuna hii destruri ya madiwani kuvaa nguo aina ya majoho wawapo kwenye vikao vya halmashauri.
Binafsi sioni faida yao kuvaa hivyo kwasababu halmashauri zenyewe changamoto zipo vilevile miaka nenda rudi.
hoja yangu ni kuwa hayo manguo hayana faida kuvaliwa, na laiti yangekuwa na faida, basi tungeona lami hadi vichochoroni, maana yana faida,
ila hayana faida, ndio maana hatuoni lami hadi vichochoroni
kwanini wasivae tu nguo za kawaida kama wezao wa bungeni
nguo zenyewe ni kama hizi
Wakati wengi wao walitoroka masomo primaryKufuata mkumbo na zaidi sana ni maigizo ya usomi na mfano wa PHD za heshima.