Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
jug la umeme lina kazi yake,friji ina kazi yale ambayo ni pamoja na kupoza maji,lakini wayer dispenser kazi yake ni kupoza na kuchemsha maji na ukitaka kutumia,unabonyeza vitufe vyake ili upate maji ya baridi au ya moto,kwenye friji inakubidi uweke maji kwrnye chupa au madumu na kila ukitaka inakubidi kufungua mlango wa friji ni usumbufuWakuu naombeni kujua faida/umuhimu wa water dispenser
Nimekuwa nikiziona Tu.
Mtu friji analo na jug la umeme analo Ila bado anataka na water dispenser.
Nini umuhimu wa water dispenser?
Wewe umefocus kwenye kuchemsha bila kutaja matumizi mengine, utampotosha mleta uzi.Utapata maji ya baridi au ya moto kwa uharaka zaidi.Kinyumbani nyumbani haina faida sana ila kama uwezo unaruhusu unaweza kuwa nayo. Ila maofisini ni muhimu ili kuepusha watu kila mara kuchemsha maji kwa kutumia majug wakihitaji maji ya chai au kahawa.
Huo umeme wanaupata wapi wenzetu?kuongeza matumizi ya umeme
Kwanini usiende kugawia masikini hiyo 😅😅Pesa kama ipo na nyumba ina nafasi weka ndani hiyo
Ulofa unakusumbua. Ukitaka kikombe cha kahawa unaenda kuwasha heater, maji ya kunywa kwenye friji.Wakuu naombeni kujua faida/umuhimu wa water dispenser
Nimekuwa nikiziona Tu.
Mtu friji analo na jug la umeme analo Ila bado anataka na water dispenser.
Nini umuhimu wa water dispenser?
Nikiamka naenda kuwasha waterdispenserNini umuhimu wa water dispenser?
Vipi kama mleta mada anayo pesa kukuzidi tayari?Mkuu ni suala LA machaguo na matumizi ndo maana utakuta mtu Ana Kuwa na Gari mbili zote nzima na kali
Kufupisha maelezo TAFUTA HELA
😂😂😂😂mbona upo,Huo umeme wanaupata wapi wenzetu?
Jitahidi uweke shower na heater ili uache kuoga na kopo.Nikiamka naenda kuwasha waterdispenser
Naenda kuoga. Nikitoka kuoga napata maji safi ya moto,, huu ndio umuhimu wangu.
Situmii jug, sbb jug nalichemshia maji ya kuoga.
Ukiwa na water dispenser za kisiasa ununuwi maji, zinazalisha maji zenyewe.Wakuu naombeni kujua faida/umuhimu wa water dispenser
Nimekuwa nikiziona Tu.
Mtu friji analo na jug la umeme analo Ila bado anataka na water dispenser.
Nini umuhimu wa water dispenser?
Shower ipo. Siwezi kuoga maji baridiJitahidi uweke shower na heater ili uache kuoga na kopo.
Cook that thing 🤣Mkuu ni suala LA machaguo na matumizi ndo maana utakuta mtu Ana Kuwa na Gari mbili zote nzima na kali
Kufupisha maelezo TAFUTA HELA
Bila shaka walishampa mwongozo lo