Ahsante mkuu.! Baada ya miezi sita naweza ruhusiwa kuisajili hapo nyumbani?Ukija nayo huku unaiendesha, utapewa kibali cha kukaa nayo nchini kwa miezi mitatu. Ila unaweza kuomba ukaongezewa ikawa sita...
Sidhani kama gari iliyonunuliwa kwenye hizi nchi zinazotuzunguka kama itatakiwa kulipiwa import duty na VAT... Sina uhakika na hilo.
Kwa uhakika zaidi, ingia kwenye website ya TRA chukua namba zao za simu uwapigie wakueleweshe.
Yeah. Baada ya miezi sita UTALAZIMIKA kulisajili hapa nyumbani... Hakikisha anayekuuzia anakupa document zote hasa kadi ya gari...Ahsante mkuu.! Baada ya miezi sita naweza ruhusiwa kuisajili hapo nyumbani?
Samahani kwa maswali mengi sina namba ya mtu wa TRA kumuulizia haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah. Baada ya miezi sita UTALAZIMIKA kulisajili hapa nyumbani... Hakikisha anayekuuzia anakupa document zote hasa kadi ya gari...
Contact Centre
Toll free in Tanzania
0800 750 075
0800 780 078
Alternative Number:
+255 22-2119343
WhatsApp Number
0744-233333
Email:services@tra.go.tz
Facebook:tratanzania
Twitter@tratanzania
Instagram@tratanzania