Hivi viwanja ni vidogo na upana wake huwezi kuacha mita moja kila upande.Mlitakiwa muache nafasi kati yenu wawili.
Yani kila mtu aache may be mita moja kisha ajenge ukuta wake au aweke uzio au vyovyote vile aonavyo.
Kama hakuacha nafasi dawa hapo na ww simamisha ukuta wako karibu kabisa na alipojenga wa kwake.
Kama hivi yani[emoji116]
View attachment 1516250
Duuh, hii ni kali.Mlitakiwa muache nafasi kati yenu wawili..