ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,430
Nipo na jirani yangu ambaye ndio kajenga ukuta unaotenganisha nyumba zetu, napenda kujua je nina haki yoyote juu ya ukuta huu kwa upande wa nyumba yangu?
Jirani yangu ananitishia kunishitaki iwapo nitaufanya jambo lolote upande wangu.
Naomba msaada wenu.
Jirani yangu ananitishia kunishitaki iwapo nitaufanya jambo lolote upande wangu.
Naomba msaada wenu.