Frank Kusundwa
New Member
- Aug 21, 2016
- 1
- 0
hivi wale jamaa wenye blogs kama millard ayo watakuwa wanalipwa sh ngap kuweka matangazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo media kama bbc (Uingereza), CNN (USA),Aljazeera (QATAR) zinaendeshwa kwa ruzuku kutoka kwa nchi hizo na kamwe HAWABANWI cha kurusha wako huru katika uhariri. lakini pia urusha vipindi kwa ufadhili fulani.mfano wanaweza kutuma crew nchini tanzania kufuatilia issue ya albino kwa ufadhili wa under the same sun na katika habari zao wasiwataje au wanaweza kufutailia jambo fulani kwa maslahi ya mfadhili fulani bila hata jamii kujua.pia mara moja moja huweka matangazo mafupi mfano aljazeera wana tangazo la QATAR airways.
mkuu ukisha sema makubwa maana yake yalikuwa madogo kisha ndo yakawa makubwa hadi mimi na wewe tunayajua....kwa bbc nchi zote zilizotawaliwa na m'british chanel hii ilikuwepo tokea enzi hizo....hivyo wao kujikita kwenye habari ambazo zinahitaji gharama kubwa ni haki yao kwani ndio chanzo cha chanel nyingi hapa ulimwenguni ukisoma historia ya radio tanzania/tbc utagundua pia chanzo nini hiyo bbc hivyo walisha jiendeleza wakajiwekeza duniani kote pesa walizo pata zimetosha wao kujikita kwenye habari ngumu ngumu wanazo zitoa.Mi labda niongezee swali tu ambalo nalo linaniumiza siku nyingi. Vipi kuhusu yale mashirika makubwa habari maana wale mwanzo mwisho ni habari tu halafu ni za kina zinazopelekea wao kutumia gharama kubwa vipi na hao wanapataje faida?