Nini hasa chanzo kikuu cha Mapato ya TV / Radio Stations?

CNN na ALJAZEERA siyo vyombo vya Umma.
 
Mi labda niongezee swali tu ambalo nalo linaniumiza siku nyingi. Vipi kuhusu yale mashirika makubwa habari maana wale mwanzo mwisho ni habari tu halafu ni za kina zinazopelekea wao kutumia gharama kubwa vipi na hao wanapataje faida?
mkuu ukisha sema makubwa maana yake yalikuwa madogo kisha ndo yakawa makubwa hadi mimi na wewe tunayajua....kwa bbc nchi zote zilizotawaliwa na m'british chanel hii ilikuwepo tokea enzi hizo....hivyo wao kujikita kwenye habari ambazo zinahitaji gharama kubwa ni haki yao kwani ndio chanzo cha chanel nyingi hapa ulimwenguni ukisoma historia ya radio tanzania/tbc utagundua pia chanzo nini hiyo bbc hivyo walisha jiendeleza wakajiwekeza duniani kote pesa walizo pata zimetosha wao kujikita kwenye habari ngumu ngumu wanazo zitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…