njechele06
Senior Member
- May 21, 2013
- 192
- 36
Wana jamvi habari.
Ningependa kufahamu nini hasa chanzo cha ugonjwa wa uvimbe wa mifupa ya kwenye joint(rheumatoid arthritis) pamoja na maumivu makali sanjari na viungo kuka kamaa/stiffness
hasa kwa kijana (miaka 29),maana nimejaribu kufuatilia nimefahamishwa kuwa huu ugonjwa ni common kwa wazee.
Je ni nini matibabu yake haswa?
Mwenye ufahamu zaidi wana jamvi anaweza kutusaidia.
MziziMkavu said;
Ugonjwa Wa Mifupa (Arthritis)
Arthritis ni nini?
Ni ugonjwa unaofanya viungo vyako kukauka na kuwa vigumu kuvisongesha kwani ukifanya hivyo, utasikia uchungu. Hali iliyo kawaida na kujitokeza sana sana ile inavamia viungo (Osteoarthritis) na ile inaathiri mwili mzima na kuufanya uvimbe ama kuleta mwasho viungoni. Mara nyingi, ugonjwa huu huwa haujitokezi bayana hadi pale ambapo mtu hufikia miaka arobaini au zaidi.
Ni nini dalili za ugonjwa huu? (Osteoarthritis)
Maumivu ya viungo baada ya mtu kufanya mazoezi ama shughuli za kutumia nguvu
Ugumu kwenye mikono, magoti, nyonga ama mgongo baada ya mtu kukaa kwa muda bila kusonga
Viungo kuvimba na kuwa vidhaifu na vyororo
Viungo kugongana na kutoa sauti mtu anajaribu kutembeatembea
Rheumatoid Arthritis
Muone daktari kisha akufanyie uchunguzi. Unaweza kupata matibabu ya kumaliza maumivu na kufanya mazoezi ya kufanya viungo viwe vyepesi.

- Viungo vyenye maumivu makali vyenye kukauka
- Viungo kuwa na joto, vyekundu na kuvimba
- Mtu kuwa na joto
- Kuhisi mchovu na mdhoofu
- Kukosa hamu ya chakula