Nini hasa hupelekea wasichana kubadilika kimuonekano baada ya kuzaa?

Hata mamaako alivyokuzaa alibadilika kwa hivyo muulize atakwambia
 
Ningeweza ningeweka pic yangu hapa ili ufute hiyo kauli kuzaa sio kuchakaa, huyo hajapata matunzo mazuri tu kitu ambacho hata ambae hajazaa asipopata matunzo anafubaa na kuzeeka
 
Unauliza na majibu unatupatia?? Umeshasema hajijali wala kujithamini
 
Siwezi kumcheka hali ya kuwa na mm ni mwanamke isipokuwa nimeona sana hili linatokea sasa najiuliza kwa nini inakuwa vile...siwezi kumcheka mamba hali ya kuwa sijavuka mto
Wazo zuri, akili iliyotulia....!! Sio kwa wote, ukianza pata watoto km huendi kazini jenga utamaduni wa kupasha maji asubuhi oga, vaa vizuri chana nywele zako, kisha wanawishe wanao USO zao.ndio uendelee na shuhuli zingine za hapo nyumbani.

Kila La heri mdogo wangu!!
 
Kafika alipokuwa akipataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…