Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu
Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la P Square, yaani Peter na Paul.
Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? .. Japokuwa kwa sasa wote tu wanafanya vizuri lakini Rude boy (Paul) anaonekana kuwa mkimya na mtu wa kazi tofauti nduguye..
Naomba kujua nini kisa kilichowatenganisha...