Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Ni hivi mke wa peter alitaka awatawale wote wawili kimaisha ya mapenzi na kikazi sio wote walioa kwa mara moja paul alikuwa hajaoa na yule mama tayari alimteka paul kimapenzi ndio jude kaka yao wa mama yao mwingine(mama mkubwa au baba mkubwa) , akasanuka hapa wataliwa na huyu mke wa peter.
So wakamdhibiti na paul akaoa alipooa mke wa paul akatafuta njia ya kufarakanisha ndugu kwa maana kashindwa kula hela kiulaini .
Wangezuba lebel records ingekuwa chini yake.
Namihela yote yake wao wangekuwa wanapewa vifuta jasho
Unamzungumzia Peter or Paul???
 
Looh!kumbe sema walimkataaga kwa kua ni mkubwa kiumri hata bimkubwa Hakua anamtaka yule mama!si unajua waafrica Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni chengaa...!!!ila mrembo yule mdada mweehh!!!
Mzuri sana sana hasa macho...ujue hadi ndoa wameifunga juzi kati hapa[emoji848]

Ila wakina Jude na wazazi hawakuhudhuria
 
Rasta Muungwana sana shida ni
Peter
Wewe humjui Rasta. Yule jamaa ni kauzu balaa, ila ni bingwa sana wa kukwepa media hasa akikasirika.

Na ndio maana wengi wanamuona siyo mkosefu.

Tafuta kuna clip moja, walikuwa wameita mwanasheria wakati wanataka kuuza na kugawana jumba moja Lagos walikuwa wamenunua wote. Rasta ni kichaa aisee, na ni mkorofi vibaya mnoo.

Peter watu wanamchukulia ni mkorofi kwasababu anapenda kuongea sana na ni mtumiaji mkubwa wa social networks.
 
hayo makabila ni km wakibosho na machame..
mkibosho ht akijenga nyumba mlango utaelekea upande ambao sio machame@
Kuna jamaa yangu mmachane alipata demu mkibosho wote ni wazaliwa wa dar, ila Mikasa ilianza demu alipopata ujauzito familia ya mshkaji iligoma kabisa kumtambua demu kama mkwe, ikafika kipindi demu kajifungua wanataka kubatiza mtoto familia ya jamaa iligoma kabisa kutoa ushirikiano demu akawa analia tu, sisi tunakula bia tunamwambia Shem kausha yataisha,

Sasa ikafika point jamaa anataka kufunga ndoa hapo ndo familia yake ikaona mshenzi huyu wakaamua kumfukuza kwenye nyumba aliyojenga kwenye uwanja wa familia, tulienda Moshi kwenye send-off ya demu masela tupu hakuna ndugu hata mmoja wa mwanaume, ila baada ya send-off tulikaa kama kamati tukamshauri mwana asitishe masuala ya harusi maana maneno na vikao vya ndugu kumlaani vilikua vingi sana, hadi leo jamaa anaishi na demu wanalea mtoto wao bila kufunga ndoa, niliongea na baadhi ya ndugu was jamaa wanasema ni bora angeoa demu wa kigoma au shinyanga kuliko kuoa mkibosho
 
Back
Top Bottom