Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Hivi Peter hapo ndio yupi na Paul ndio yupi?
Peter - Mwenye kofia ( Mr. P ) | Paul ( Rudeboy ) - Mwenye miwani.
1625293913586.png
 
Wakuu

Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la P Square, yaani Peter na Paul.

Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? .. Japokuwa kwa sasa wote tu wanafanya vizuri lakini Rude boy (Paul) anaonekana kuwa mkimya na mtu wa kazi tofauti nduguye..

Naomba kujua nini kisa kilichowatenganisha...

Walikuwa wanagombania kioo ili wajirembe, kilipovunjika kila mmoja akala kona kwa hasira.
 
Yes, ni slayqueen ila wale ambao umri umesogea kidogo type za kina Zari.

Anamzidi umri Peter.

Vile vile, Nigeria kuna ukabila fulani kati ya Igbos na Yoruba.
Sio ukabila fulani bali ni hawaelewani kabisa hao watu....makabila yao ni makubwa kwa pale Nigeria na bahati mbaya yamegawana hadi Dini, Igbo karibu wote ni wakatoliki huku Yoruba wao wamechanganya kiislamu na madhehebu ya kilokole ya kikristo.

Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
 
No woman no man cry
Slay queen wa zaman kama zari hivi
Ndo chanzo cha kutengana kwao,
 
Movement zote za dance nyimbo zote za psquare alikuwa anatengeneza huyu MR P,anaiga sana style za Michael jackson ...

Mke wake ndio alimshauri waache kuafanya kazi kindugu ,waachane na manager wao ambaye ni kaka yao Jude okoye ,kwan walikuwa wanagawana sawa ,huku kazi kubwa ikiwa inafanywa na psquare ..

Ndipo peter akasema ili psquare iendelee wanahitaji new management ,yaan kaka yao jude okoye asiwe manager ..

Ndio Paul akakaaa ,peter akaamua kujitenga huku akiandika kwenye mitandao ya kijamaa kuwa ili psquare iwepo lazima management mpya iwepo ,ambayo hawatafanya kazi kiundugu ,kila mtu ale jashoo lake ...
peterpsquare-20210703-0004.jpg
 
Wakuu

Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la P Square, yaani Peter na Paul.

Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? .. Japokuwa kwa sasa wote tu wanafanya vizuri lakini Rude boy (Paul) anaonekana kuwa mkimya na mtu wa kazi tofauti nduguye..

Naomba kujua nini kisa kilichowatenganisha...

Nami poa naomba nijue hili aisee
 
Back
Top Bottom