Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Waafrika ku join pamoja kumeki business ni kazi sana. Sie kazi yetu ni kula tunda kimasihara,kumeki heshima kitandani japo mzungu anapiga kamoja tu kwa wiki siku zingine ni romance kwenda mbele na mademu wanatumia toys kujiweka poa, ama wanaokota blacks wenye uchu wanawaweka poa wanafanya kazi kwa kizazi Chao kuja kuishi poa.

Sie hatuwazi kuweka heshima ya maendeleo.
Yaani story za kuchakata mbususu zinachangiwa Sana kuliko za maisha.
Shida waafrika tuna nguvu nyingi Sana za kiume zinatufanya muda wote kuwaza kula mbususu tu.

Jamaa hawana kabisa nguvu na ndo Mana mademu wao wanashobokea kwa blacks huku jamaa zao wakiwa maabara wakivumbua chanjo ya Corona.pia na wanatengeneza magonjwa ya kuja kuwaziia blacks baadaye chukua mkopo wa dawa ama chanjo afu lipa mkopo kizazi na kizazi kwa riba kubwa kwa faida ya vizazi vyao watakuwa wanakula riba itokanayo na kizazi Cha blacks wapenda mbususu.

Yaani European wameungana Wana sarafu moja,
Sie hapa Ethiopia wa tigray wanataka kujitenga.
Shida pia ni ukabila kujiona ya kuwa sie ni Bora tumesoma kuliko wengine wao hawastahili kushika hizi nyadhifa serikalini.
Rwanda ka nchi kadogo ukabila uliua watu Sana. Kama vipi wajitenge watutsi na wahutu kila mtu eneo lake.

Yanai mkianza kujitenga zenj na bara mpaka Pemba na unguja mtajitenga.
Na Kanda zingine pia zitajitenga baadaye hizo Kanda zitajenga kimakabila Mana utashangaa Kanda ya kusini utajikuta kabila fulani ndo wanaongeza wengine wamekaa pembeni baadaye watamaindi kuwa hawafaidi baadaye wataleta vuguvugu la kujitenga na wao kulingana na kabila lao.

Baadaye hizo kabila watajitenga kulingana na Koo zao.
Yaani bana Africa we've like 1000 years to go
 
soma hayo maneno hapo utajua chanzo ni pesa au wanawake?
Screenshot_2020-11-22-23-44-22.jpeg
 
Peter anahaha tu ukiangalia hata kimziki Rudeboy yuko vzr sana na anatoa hit song tupuu!kuna eja Peter akaaside na mkewe ndo shida ilipoanzia hapo wakatengana,wakarudiana,wakatengana tena na ndo hawakurudiana mpk Leo ...Ila kimafanikio Rudeboy kimziki yuko juu...yule Peter mbwembwe tu then Paul ni mpole sana hana maneno maneno kama huyu Peter!!!!
Nafikiri Paulo ndio kulwa

Akina dito huwa Ni wakorofi sana
 
Wakuu

Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la P Square, yaani Peter na Paul.

Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? .. Japokuwa kwa sasa wote tu wanafanya vizuri lakini Rude boy (Paul) anaonekana kuwa mkimya na mtu wa kazi tofauti nduguye..

Naomba kujua nini kisa kilichowatenganisha...

Hapa chanzo kilikuwa ccm na wahuni wake
 
Peter anahaha tu ukiangalia hata kimziki Rudeboy yuko vzr sana na anatoa hit song tupuu!kuna tena na ndo hawakurudiana mpk Leo ...Ila kimafanikio Rudeboy kimziki yuko juu...yule Peter mbwembwe tu then Paul ni mpole sana hana maneno maneno kama huyu Peter!!!!
Huyo mke wa Peter ndo chanzo, ndo mana mama yao kabla ya kufariki akimkataa.
 
Psquare finally end long time beef as Peter finally follows Paul and his elder brother Jude
 
Peter ni mtukutu, mkorofi kuanzia utotoni...anapenda kupigana

Ila yule Lola ni mtu mzuri sana basi tu wanamgeuka, kipindi hao mapacha wamefulia yy Lola ndo alikuwa anawatoa mishiko ya studio na magari ya kwao
Hiiiiiih😁. Mtu akisoma hiii comment ni lazima afikirie kuwa wewe ni ndugu wa kina P SQUARE kumbe hâta hawakujui, Daaah wabongo ni noma.
 
Wake zao...... Wanawake walisababisha wanaume kutokuelewana. Ndo maana unambiwa kuwa makini wakati unataka kuoa. Ukioa mwanamke ndezi ni kama kuwa na adui chumba cha mipango ya mashambulizi.
 
Back
Top Bottom