Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mambo ya kuingiliana kwenye uhuru binafsi.Wakuu
Hivi chanzo cha ugomvi wa mapacha hawa waliounda kundi la muziki la p square, yaani Peter na Paul.
Kiliwakumba nini mpaka wakaamua kutemana na kila mtu afanye kazi kivyake (solo)? ..
Japokuwa kwa sasa wote tu wanafanya vizuri lakini rude boy (Paul) anaonekana kuwa mkimya na mtu wa kazi tofauti nduguye...
Naomba kujua nini kisa kilichowatenganisha...
Yaani walishea mbususu moja?Wanawake.
Shida ni kuwa hao sio ma StarAchana nao,ugomvi mdogo tu huo,huku mtaani watoto 10 wa familia moja wanagombana itakuwa hao wawili.
Elezea zaidi mkuuMambo ya kuingiliana kwenye uhuru binafsi.
Doh ni yupi rasta au upara?Mwanamke, kuna m1 alikua ana date na shemeji yake.
Hutaki mambo mengi 😁😁Kama sio pesa,ni mademu!! Thread closed.
Peter alioa mwanamke ambaye familia haimtaki. Na kibaya zaidi Paul kwa kushirikiana na anko wao Jude baada ya kifo za mama yao wakawa wanashirikiana kutaka kumcontrol Peter.Elezea zaidi mkuu
Lakini wanawake ndio chanzo cha mfarakanoPeter alioa mwanamke ambaye familia haimtaki. Na kibaya zaidi Paul kwa kushirikiana na anko wao Jude baada ya kifo za mama yao wakawa wanashirikiana kutaka kumcontrol Peter.
Ilikuwaje mkuu?Ukitaka usigombane na ndugu au rafiki yako,akae mbali na mke wako
Yes, ni slayqueen ila wale ambao umri umesogea kidogo type za kina Zari.Lakini wanawake ndio chanzo cha mfarakano
Ukute alioa slayqueen ndugu zake wakataka kumuokoa labda
Jude si ndio alikuwa meneja wao?
yes, yes, kabisaUkitaka usigombane na ndugu au rafiki yako,akae mbali na mke wako
Wake zao walio waoa ndio walioleta mfarakano.Yaani walishea mbususu moja?
Kumbe upo zile nyuzi za tuzo za BET sikuoni aiseeWanawake.
Mbona nipo kwa hiyo umefurahi na moyo umesuuzika!!!!!!!!!Kumbe upo zile nyuzi za tuzo za BET sikuoni aisee