Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
sio majambazi kwa tafsiri iliyozoeleka, walikuwa wakifungua spare za ndinga flani ndipo watu wakawashtukia wakawaunganishia, sasa si unajua mkulu alishatoa agizo majambazi wauliwe nao wakauliwa kwa staili hiyoHawa masharobaro wawe majambazi? labda..
Hebu wairasmishe sanaa aisee, inafikiaje mwandishi wa heat songs anakuwa mwizi wa sparessio majambazi kwa tafsiri iliyozoeleka, walikuwa wakifungua spare za ndinga flani ndipo watu wakawashtukia wakawaunganishia, sasa si unajua mkulu alishatoa agizo majambazi wauliwe nao wakauliwa kwa staili hiyo
tamaa zao vijana na kupenda shortcutHebu wairasmishe sanaa aisee, inafikiaje mwandishi wa heat songs anakuwa mwizi wa spares
hasa masharo wa kino na migo hawana kazi maalumu, kama sio mapunda wezi wa vifaaMasharo wengi dar ni wezi wa vifaa vya magari kuna cku nimewakosa pale baraka place mikocheni......narudi kwenye gari nae ndio anamaliza kufungua mlango wa gari yangu kuna mwenzake akamstua wakakimbialia kwenye gari yao n kuondoka fasta....mana wangefanikiwa kuiba ingekua kilio kwangu
Ngoja wakatumbuize huko mbele ya safari.Hawa marehemu wamekuwa maceleb fasta.
Enzi za uhai wao wala nilikuwa siwajui.
UDEUDE kaandikia baadhi ya mastaa nyimbo mkuuHawa marehemu wamekuwa maceleb fasta.
Enzi za uhai wao wala nilikuwa siwajui.
Samaki mmoja akioza sio, ha ha sipati picha wakuvamie na uwajue ni hawa bishooz, unawapaka VILAINISHI TUKAMA HAO NI MAJAMBAZI BASI BOB JUNIOR NA BONGE LA NYAU WOTE MAJAMBAZI
Yani nlikua nimeweka mzigo chini ya kiti kwahiyo wangeniwahi ilikua nikajisalimishe kituonihasa masharo wa kino na migo hawana kazi maalumu, kama sio mapunda wezi wa vifaa
Mkuu wanasema waliwakimbiza mpk ilipofika sehemu ambapo ikishindikana wao kukimbia, walipoona hivyo wakachomoa bunduki wakaanza kujibizana na askari ndo ikatokea 2 men downTunasikia stori za upende mmoja tu kwa vile Marehemu hawezi kuongea. Ukweli wanaujua Polisi. Lakini cha kunishangaza inakuwaje kibaka wa tairi la gari hana zana yoyote apigwe risasi? Kuna watu inabidi wawajibike hapa!