Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Huo ndio ulikuwa waqt wetu hawa wa kwetu nao ni waqt wao inabidi unakuwa mpole waqt mwingine.Mbaya zaidi unajua kabisa hapa nadanganywa unabaki kucheka.hahaaa!acha tu mi nlikua naomba ela ya photocopy na mitihani daily haiishi!tuit silipi nakula nalipia masomo matatu!
Umeulizwa wewe mkuu? Subiri wenye majibu waje, hivi unajua kwamba mamlaka ya juu kabisa hapa nchini ni wananchi??Hayo mambo ya mamlaka za juu.. Hupaswi kujua
off course sometimes unajua kabisa kua hapa napigwa changa la macho!Ila huna jinsi!Huo ndio ulikuwa waqt wetu hawa wa kwetu nao ni waqt wao inabidi unakuwa mpole waqt mwingine.
But usiumie analipa zile za photocopy ulizompiga mzee sometime malipo hapa hapa duniani so ulivyo rudi ulimpa kibano? au ulimzozea mbovu yakaisha? maana ukikaa nalo linakuumiza huna budi kulisema.off course sometimes unajua kabisa kua hapa napigwa changa la macho!Ila huna jinsi!
kuna dogo langu limemaliza juzi jangwani juzi naenda kuchukua living naambiwa nadaiwa wakati nlilipa kila kitu!nlichoka mno!dogo amekula hela balaa!!
Wengi tu ndio kazi zao kupiga vifaa vya magarihhahhhaaa!machoko tena!
akuu!I did nothing to her!But usiumie analipa zile za photocopy ulizompiga mzee sometime malipo hapa hapa duniani so ulivyo rudi ulimpa kibano? au ulimzozea mbovu yakaisha? maana ukikaa nalo linakuumiza huna budi kulisema.
aiseeeh!kweli kuishi mjini kazi!Wengi tu ndio kazi zao kupiga vifaa vya magari
Pole nahisi maumivu uliopata ila ndo ukubwa jalala huo.akuu!I did nothing to her!
nlimuambia mama ake mwanao kule hajalipa ada form six yote kalipa NECTA tu!ikabdi nlipe mi sijamuuliza chochote kile naona uvivu mie!!!
nasubiri maana nae si kabakiza miaka 3 au mi nne!akione cha moto!
Mjini Dar au Dom?aiseeeh!kweli kuishi mjini kazi!
lllooohh!
watahamia Dodoma soon!Mjini Dar au Dom?
Sahivi hao Mr na mrs Daudi watakuwa washakufa sio au bado??hhhaaahhaaa!!eeehh!na baraka enzi zetu hzooo!!
washakufa!naskia mussa teja,neema muuza samaki,baraka alistoroway South!Sahivi hao Mr na mrs Daudi watakuwa washakufa sio au bado??
marehemu walikuwa na silaha za moto?Mkuu wanasema waliwakimbiza mpk ilipofika sehemu ambapo ikishindikana wao kukimbia, walipoona hivyo wakachomoa bunduki wakaanza kujibizana na askari ndo ikatokea 2 men down
Umauti utakuwa umeisha wachukua labda wajukuu zao ndio wapo hai.Sahivi hao Mr na mrs Daudi watakuwa washakufa sio au bado??
Hahahaah! hiki ni chanzo cha kuaminika kabisa? ila kuna uwezekano una link nao ndo maana avatar yako umewaweka.washakufa!naskia mussa teja,neema muuza samaki,baraka alistoroway South!
Uwiiiiiiie yeuwwwwiiiiiii auwiiiiiiii jaman kifo SI kitu kizuri yeuwiiiiiiiiiieee auwiiiiiiiiiiUmauti utakuwa umeisha wachukua labda wajukuu zao ndio wapo hai.
Uwiiiiiieeeee yeuwuiiiiiii auwiiiiiiiiwashakufa!naskia mussa teja,neema muuza samaki,baraka alistoroway South!
yap!mama yao na mama angu na!wamekutana undugu kwa bibi mzaa babu alioa sasa kule alikooa binamu yake alikua na watoto wa kufikia ndo undugu ulikoanzia!Hahahaah! hiki ni chanzo cha kuaminika kabisa? ila kuna uwezekano una link nao ndo maana avatar yako umewaweka.
Wa kumulika na microscope huoyap!mama yao na mama angu na!wamekutana undugu kwa bibi mzaa babu alioa sasa kule alikooa binamu yake alikua na watoto wa kufikia ndo undugu ulikoanzia!
hahahhahaaaaaaahahhaa!kama virus vile!Wa kumulika na microscope huo