Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Huo ndio ulikuwa waqt wetu hawa wa kwetu nao ni waqt wao inabidi unakuwa mpole waqt mwingine.Mbaya zaidi unajua kabisa hapa nadanganywa unabaki kucheka.hahaaa!acha tu mi nlikua naomba ela ya photocopy na mitihani daily haiishi!tuit silipi nakula nalipia masomo matatu!