Nini hasa kilitokea mpaka UDE UDE na rafiki yake wakauawa na polisi TANGA?

Tunasikia stori za upende mmoja tu kwa vile Marehemu hawezi kuongea. Ukweli wanaujua Polisi. Lakini cha kunishangaza inakuwaje kibaka wa tairi la gari hana zana yoyote apigwe risasi? Kuna watu inabidi wawajibike hapa!
Naskia hawa vijana ni wezi maarufu wa power window na vifaa vingine... Walishaonywa na kuwekwa ndani several times tena kwenye mikoa tofauti

Walitafuta mauti yao
 
Kaacha yaan kwenye show zake alikuwa anaenda na vibaka yeye anapiga ndan wenyewe wanaiba nje halafu anawarusha utasikia …"tunaimba nje na ndani" .
Dizaini flan hivi kama waimba mchiriku wanakwambia tunapigia miguu yote.
 
Kaacha yaan kwenye show zake alikuwa anaenda na vibaka yeye anapiga ndan wenyewe wanaiba nje halafu anawarusha utasikia …"tunaimba nje na ndani" .
Ha ha ha ha nimecheka sana mkuu, eti "tunaimba nje na ndani" by the way hii VITAIMANA ORIGINAL AU REMIX BY FERE GOLA
 
Ulikuwa ujuwi some of them unga ndio mpanga ata yule wa nani pia ndio shughuli zake anajiita .....te
 
kumbe mwizi akikimbia anamiminiwa risasi zakutosha tu na huku hana silaha? tena wote wawili? kuna mchezo hapa! wangewapiga risasi za miguuni ili wawakamate
 
Kuna rafki yangu siku moja aliniambia kuna washkaji tuwafate sehem flani ilikuwa asubuhi tumeamka nae homu tukanywa chai.mwisho akaniona sielekei akaamua kuondoka zake na alteza yake imefika mchana baba yake ananipigia simu kuniuliza kama niko nae nikamjibu kwamba tuliachana asubuhi.ikapita muda nikapigiwa simu tena na mama yake kwamba amekamatwa na polisi kuna tukio la ujambazi kwamba yeye na wenzake walitaka kufanya hivyo wamekamatwa nilivyosikia hivyo nikawasha pikipiki hadi usa river kuulizia naambiwa kuna majambazi wameuwawa hakuna alietoka kutazama pembeni naona alteza hapo polisi ina matobo ya risasi na vioo vimepasuka yaani kidogo nizimie hakuna siku nilipata shock km siku hiyo.askari mmoja ndo akanichana kwamba ktk gari kulikuwa na wanaume 2 na wanawake 2 na mwanamke 1 ndo ameumia vibaya yuko hospitali na ishu inaonyesha walienda kupiga tukio sehem kufika mbele beria wakasimamishwa hawakusimama hivyo askari wa beria ya mbele wakapewa redio kwamba hiyo gari ina majambaz hivyo wakalipukiwa wote yule rafki yangu nimeenda mochwari nikamkuta yaani moyo umetoka nje kwa matobo ya risasi.hadi leo imekuwa nightmare kwangu tukio lile la kuskitisha na kujiuliza huyu rafki yangu toka utoto ameanza lini kwenda front hadi kujibizana risasi na askari!numebaki na maswali bila majibu hadi leo
 
Mkuu huyu chalii ni yupi au yule wa bob ally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…