KIWAVI
JF-Expert Member
- Jan 12, 2010
- 1,817
- 700
Naskia hawa vijana ni wezi maarufu wa power window na vifaa vingine... Walishaonywa na kuwekwa ndani several times tena kwenye mikoa tofautiTunasikia stori za upende mmoja tu kwa vile Marehemu hawezi kuongea. Ukweli wanaujua Polisi. Lakini cha kunishangaza inakuwaje kibaka wa tairi la gari hana zana yoyote apigwe risasi? Kuna watu inabidi wawajibike hapa!
Walitafuta mauti yao