Nini hasa kilitokea mpaka UDE UDE na rafiki yake wakauawa na polisi TANGA?

Umenikumbusha mbali sana my dear the good old days waweza kutamani waqt urudi ubabe na deko jingi unaomba pesa au daftari kwa mkwala unawaambia msiponipa na lishule lenu siendi.
Mkuu umesoma kwa raha kweli, yaani unapiga mkwala huendi shule alafu wazazi wanakuchekea... Wengine kuacha kwenda shule ilikuwa uwe na sababu ya kueleweka
 
Mwenye Enzi Mungu anakupenda sana. ..
 
Mkuu umesoma kwa raha kweli, yaani unapiga mkwala huendi shule alafu wazazi wanakuchekea... Wengine kuacha kwenda shule ilikuwa uwe na sababu ya kueleweka
No ilikuwa mkwara flan hivi hapo unaongelea vidudu mpaka la pili khalafu akili inakuja unaanza kuipenda shule. Na mambo yakaendelea sikuwa mtegaji wa masomo so mambo yalikuwa mswano
 
Thx .....yani nlitoka jasho la kutosha mana nafika 2 nae ndio anamaliza kufungua mlango bdo hajazama ndani
aiseehh!lazma uvurugwe wadogo zetu tamaa nyingi sana hawa!
wanataka gud lyf kujituma zero!hilo ndo tatizo!
 
aiseehh!lazma uvurugwe wadogo zetu tamaa nyingi sana hawa!
wanataka gud lyf kujituma zero!hilo ndo tatizo!
Wanataka kuishi maisha mazuri bila kutumia nguvu na akili...ila police ndio wanawalea mana wanawajua wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…