Nini hasa kilitokea mpaka UDE UDE na rafiki yake wakauawa na polisi TANGA?

Nini hasa kilitokea mpaka UDE UDE na rafiki yake wakauawa na polisi TANGA?

Umenikumbusha mbali sana my dear the good old days waweza kutamani waqt urudi ubabe na deko jingi unaomba pesa au daftari kwa mkwala unawaambia msiponipa na lishule lenu siendi.
Mkuu umesoma kwa raha kweli, yaani unapiga mkwala huendi shule alafu wazazi wanakuchekea... Wengine kuacha kwenda shule ilikuwa uwe na sababu ya kueleweka
 
Kuna rafki yangu siku moja aliniambia kuna washkaji tuwafate sehem flani ilikuwa asubuhi tumeamka nae homu tukanywa chai.mwisho akaniona sielekei akaamua kuondoka zake na alteza yake imefika mchana baba yake ananipigia simu kuniuliza kama niko nae nikamjibu kwamba tuliachana asubuhi.ikapita muda nikapigiwa simu tena na mama yake kwamba amekamatwa na polisi kuna tukio la ujambazi kwamba yeye na wenzake walitaka kufanya hivyo wamekamatwa nilivyosikia hivyo nikawasha pikipiki hadi usa river kuulizia naambiwa kuna majambazi wameuwawa hakuna alietoka kutazama pembeni naona alteza hapo polisi ina matobo ya risasi na vioo vimepasuka yaani kidogo nizimie hakuna siku nilipata shock km siku hiyo.askari mmoja ndo akanichana kwamba ktk gari kulikuwa na wanaume 2 na wanawake 2 na mwanamke 1 ndo ameumia vibaya yuko hospitali na ishu inaonyesha walienda kupiga tukio sehem kufika mbele beria wakasimamishwa hawakusimama hivyo askari wa beria ya mbele wakapewa redio kwamba hiyo gari ina majambaz hivyo wakalipukiwa wote yule rafki yangu nimeenda mochwari nikamkuta yaani moyo umetoka nje kwa matobo ya risasi.hadi leo imekuwa nightmare kwangu tukio lile la kuskitisha na kujiuliza huyu rafki yangu toka utoto ameanza lini kwenda front hadi kujibizana risasi na askari!numebaki na maswali bila majibu hadi leo
Mwenye Enzi Mungu anakupenda sana. ..
 
Mkuu umesoma kwa raha kweli, yaani unapiga mkwala huendi shule alafu wazazi wanakuchekea... Wengine kuacha kwenda shule ilikuwa uwe na sababu ya kueleweka
No ilikuwa mkwara flan hivi hapo unaongelea vidudu mpaka la pili khalafu akili inakuja unaanza kuipenda shule. Na mambo yakaendelea sikuwa mtegaji wa masomo so mambo yalikuwa mswano
 
Thx .....yani nlitoka jasho la kutosha mana nafika 2 nae ndio anamaliza kufungua mlango bdo hajazama ndani
aiseehh!lazma uvurugwe wadogo zetu tamaa nyingi sana hawa!
wanataka gud lyf kujituma zero!hilo ndo tatizo!
 
Back
Top Bottom