GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Mmoja nimepishana nae Stendi ya Makumbusho nikitaka kupanda Gari za Mbagala Rangi Tatu na kwa jinsi yalivyonivutia yalivyokuwa yanatikisika Kiushawishi wa Tendo Pendwa la Kibaiolojia nimejikura nimeghairi kwenda huko Mbagala Rangi Tatu na sasa nimepanda Basi alilopanda Yete la Mbweni ili tu niendelee Kumkodolea / Kumuangalia ndani ya Basi, akishuka na mpaka akielekea Kwake na ikiwezekana nikipata Kajiupenyo nimuombe Namba yake ya Simu ili tukikubaliana basi haya 'Makalio Tikisika' yake niwe nayaona Mwenyewe Guest House / Lodge.
Cc: Shunie, cocastic, Bantu Lady
Happy May Day Wafanyakazi na wasio ( tusio ) Wafanyakazi wote wa Taifa ambalo Rais anatoa Mamilioni kwa Simba na Yanga huku Umeme wa Uwanja wenye Jina la aliyekuwa Rais Mkapa ukiwa na Changamoto zinazojirudia.