THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Mtu kama gwajima,kitine na pole pole ukiwateka unawala tigo kwanzaKikubwa kapinga watu wasitekwe
Jamani msiteke watu
Msiteke watu jamani
Bora kuwasikiliza na kuwapuuza kuliko kuteka
Jamani wengine wanategemea na msururu wa watu nyuma
Mi nafikiri cha kwanza watu wasitekwe
Tafadhal serikali tafuteni wanaoteka watu ni kina nani
Mi siamini na sitaamini kama ni seriakali inateka watu wake
Soka alikua anamlea bibi yake
Kesho mama yenu inabidi abadikishe scriptBinafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Hiyo Ford foundation kama ipo kweli, Iwaongezee posho na marupurupu hawa watu.Kwa mtu mwenye busara hatakiwi kusema hivyo wakati huu kumbuka kuna watu wamechomewa mali zao na kuibiwa pia usije ukafikiri wakisikia maneno ya huyu Padre watafurahi watataka nao walipize kisasi. Maneno kama haya ndiyo yalileta mauaji ya Kimbali Rwanda kwa mapadre wasiyokuwa na busara kama huyu Padre Kitima.
Kwenye vurugu zozote lazima kuna watu wasiyojua kitu hufa kwahiyo siyo kigeni. Yeye anapashwa kutoa maneno ya kuponya kwa sasa hivi lakini kwa kuwa yuko kwenye payroll yq Ford Foundation lazima asema anachosema ili awafurahishe watoa pesa.
CCM hawajawahi kuona AIBU ....Kuna mtu kapigwa counter attack na press yake ya kesho na wazee wa ovyo
Ukimya unawapa faida wale walio guilty, usifundishe watu ukimya wa kipumbavu.Kama kweli ayo yalitokea kunasababu Gani yeye kuyasema sasaivi wakati Nchi inaelekea kuponya majeraha.
Kuna vitu havisemwi si kwasababu mtu anaiogopa serikali hapana, ila kwakua ukivisema kwa Sasa ni kutia petrol kwenye moto unao elekea kuzimika.
Kitima hakuvisema kwa bahati Mbaya amekusudia kuleta taharuki.
Usi fikiri watu wamefurahia jinsi serikali ilivyo Fanya kabla na baada ya uchaguzi ila kwasasa wenye akili wote focus Yao ni upatikane utulivu kwanza na baada ya muda tuelezane ukweli.
Watu wanajua mambo mengi ya hovyo yaliyofanyika lakini kwa Hali iliyopo Sasa ukiyaweka wazi ni kutaka ku iripua Nchi.
Nchi kwanza mengine baadae.
Halafu unajiita muislamu, Mfiraji mkubwa wewe, Ndio maana huwa unatawaza ili ukabinue makalio usichafue hali ya hewa?Mtu kama gwajima,kitine na pole pole ukiwateka unawala tigo kwanza
Nongwa anaipenda yule aliyeua watu, inakuwaje mnaona maneno ni mabaya kuliko mauaji?Wanapenda nongwa sana hawa watu
Maandamano wakati Yana Anza walikuwepo polisi na Jeshi yalipo badili msimamo na kuanza uhalifu na polisi Waka Anza kutekeleza majukumu Yao.Kwanini yasingeongozwa na polisi, jeshi, kulinda waandamaaji na mali za raia?
Hakuna anaye kataza watu wasihuzunike, kuhuzunika ni sahihi ila lazima tuwe wa kweli.Ukimya unawapa faida wale walio guilty, usifundishe watu ukimya wa kipumbavu.
Yeyote anayeweza kuchochea moto aendelee kuchochea. FYI hakuna jeraha lililopona, hakuna maumivu yaliyoanza kusahaulika. Yamkini mtu haujafiwa na ndugu lakini waliouawa ni watanganyika wenzetu, sote ni ndugu katika ardhi ya tanganyika, tuache tugrieve usitake kudictate hadi hisia za watu, kwamba wajisikiaje kwa wakati gani.
Kitima ameweka wazi kila kitu, anahimiza watawala kuwajibika kwa matukio ya kabla, wakati na baada ya "uchaguzi "Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Maandamano wakati Yana Anza walikuwepo polisi na Jeshi yalipo badili msimamo na kuanza uhalifu na polisi Waka Anza kutekeleza majukumu Yao.
Karibu sana. Ila uje umejipanga vizuri mkuu.
Mbona Mimi sijaona uchochezi wa kidini hapo?Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Kwani vyombo vya usalama viliamka tu na kuanza kuua? Hao watu wasingefanya uhalifu ule, kungetokea mauaji yoyote? Kwanini mnakwepa sababu ya msingi iliyopelekea yote hayo? Yaani watu wameamua kukata vidole Watanzania wenzao kisa tu wamepiga kura then hao watu mnawateteaje?Nongwa anaipenda yule aliyeua watu, inakuwaje mnaona maneno ni mabaya kuliko mauaji?
Kuna mahali ameongelea udini?Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Kama moyo wako ndo yaliyojaa hayoMtu kama gwajima,kitine na pole pole ukiwateka unawala tigo kwanza