Nini hasa maana ya utu?

Utu wa shoga jee haupaswi kuheshimiwa? lolz
Loh ! Utu Upi?

Azimio jipya alisema Unaweza kuzaliwa na Utu lakini ukafa Mnyama ! unaweza kuupoteza Utu wako mapema kabisa kutokana na mtindo wa maisha unayoishi. si mitindo yote ya maisha inajenga Utu.... Mitindo mingine ya maisha ni dhihirisho kuwa Utu umekufa Kabisaa ! ! FUU!
 

Kuoa wake wengi jee inaendana na utu?

Kukeketa mwanamke jee?

Hukumu ya kifo?
 
AshaDii,

AshaDii asante for your insights. I agree with you that definition ya utu differs from society to another and even from one person to another. Kwa mfano wapo wanao- believe kuwa ni utu kumwua mtu aliyeua if certain conditions are met. From war to self-defense to defense of one's belongings to being looked at the wrong way. Lakini wapo wengine ambao wanaamini si utu kumwua mtu aliyeua regardless of the reason ya kuua. Kwa mfano ukiliza ilikuwa utu kumwua Gaddafi, hutapata jibu moja.

But pamoja na kuwa utu una vary from one society to another, does this means that hizi jamii hazina hata some very minimal shared understanding of utu? Kwa mfano South Africa wanatumia neno Ubuntu kama utu. Tukiangalia understanding yao ya Ubuntu inatofautiana sana na utu wetu?

Archbishop Desmond Tutu anatoa definition ya Ubuntu kwenye kitabu chake mwaka 1999:
Tutu alielezea zaidi maana ya ubuntu mwaka 2008

Mandela nae hakubaki nyuma:


Hiyo ya Mandela ipo sana kijijini kwetu. Mtu akiomba maji ya kunywa huwezi kumnyima hata kama umebakiza kikombe kimoja ndani. Sijui kufanya hivyo ni utu? Najua Gaijin atauliza maswali kedekede. lolz
 
Dah. Huu uzi umekua mtamu zaidi, ngoja ninyonye elimu hapa taratiiiiiiibu.
 
Reactions: EMT
Isipokuwa napata tabu kidogo mnapo sema tafsiri ya utu inategemeana na jamii husika.
Mfano hapo kale mfalme akifa anatafutwa kijana wa kumsindikiza na anazikwa akiwa hai kampakata mfalme, na kitendo kile kilitafsiriwa kama ushuja mkubwa kwa kijana na familia yake.
Je huu ni utu kwa jamii ile?
 
Reactions: EMT
EMT

Kabla sijaanza masuala mengi, Ubuntu inafanana na Ujamaa kama ilivyoelezwa hapa

 
Reactions: EMT

Most probably not from the view point of the maid/aid who got buried alive!
 

Naamini hata hapa Bongo wenye nguvu wanaweza kuwa ndio wanao define morals zetu. Lakini sio kazi ya serkali ku-define morals zetu. Hivi hili suala ka katiba mpya halijakaa pia ki-moral au ki-utu? lol. Ni utu kumpa rais madaraka makubwa hivyo kwenye mchakato wa katiba mpya? SI "kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake" kwenye mchakato mzima wa katiba? Yaliyotokea jana bungeni yalizingatia utu? lol
 
Ha ha ha EMT

Na mishahara na posho za wabunge jee zinafuata kanuni za utu wa Mtanzania kweli?
 
Ofkoz wenyenguvu ndio wana define morals hapa Bongo
Na kwingineko.
 

lol. Kama utu unaweza kupanda na kushuka kulingana na mabadiliko yanayotokea kwenye jamii may be miaka ijayo ushoga utakuwa haudhalilishi tena utu wetu wa Kiafrika. Kwamba utu sio static as it may change from time to time.
 
lol. Kama utu unaweza kupanda na kushuka kulingana na mabadiliko yanayotokea kwenye jamii may be miaka ijayo ushoga utakuwa haudhalilishi tena utu wetu wa Kiafrika. Kwamba utu sio static as it may change from time to time.

By the time tunapata vitukuu, ushoga hautakuwa ukidhalilisha utu wa Kiafrika tena.

"tutaongeza uelewa na ufahamu wetu kuhusu utu" and voila, mashoga wanaoana na kuasili watoto
 
Kazi ipo kwenye kutafuta universal definition ya utu.

Bearing in mind pia utu sio static? Umenikumbusha ule usemi: Who might a be terrorist to you, might be a freedom fighter to me.
 
Ofkoz wenyenguvu ndio wana define morals hapa Bongo
Na kwingineko.

Sasa kama ni hivyo ina maana kila mtu na definition yake ya utu lakini "mwenye nguvu mpishe" inatawala au?
 
ndetichia,

Azimio Jipya,



Cathode Rays,

Mtazamaji,


EMT nimeona hata nisiende mbali na ni withdraw from the jamii ya JF.... Imagine the above members woote wamechangia na kutoa Concept zao, za how they define Utu... Of course Gaijin is asking a lot of serious questions but hayo maswali yametoa majibu mengi saana. Nimejaribu kusoma na kuangalia exactly how anaweza i-define but unfortunately sijampata vizuri... Hizi comments za watu ndo hasa zimechangia niweze jibu hio post yangu nilivo jibu, for as i was reading i was involuntary siphorning information and by the time nimemaliza nataka comment.... It was useless for i have to declare that I know maybe i would have answered differently had i not read the comments from other members and the answers to Gaijins questions.

On the basis of the above edited posts... Ndo hapo inatupa picha why Desmond, Ubuntu and Mandela would have different words defining "utu" but when observed closely you note that they are indeed in the same lines...



Now thats the thing Pal.... Ndo maana unaona kua definition ya "Utu" iko na close relationships za Morals na norms ya jamii husika... Kile ambacho is considered proper... Unakuta woote hao walo define "Utu" ulo wa quote na nilowa-quote yoote inaangukia katika being good and better people to one another... Kama vile in other words kua ukifanya kitu ama mfanyia mtu kitu "Put your self in their shoes" kwanza and ask if you radher do what you intend kwako pia... Hii ndo inafanya iwe confusing.... Other people are emotionally stronger than others... Mmoja aweza fanyiwa kitu akaumia zaidi na kuona hajatendewa Utu na hapo hapo mwingine akapotezea na kuona it is not a big deal!
 

Mkuu hii haina tofauti na kukeketwa. Kwako unaweza usione kama ni utu lakini wanaofanya hivyo wanaona utu.
 
ETM na Gaijin sheria zimabadli kabisa maana ya utu, narudia tena si kila sheria au haki ni utu, kinacho tutofautisha na wanyama ndio utu wetu, utu anaostahiki mtu wa usa ndio anastahiki mtanzania, kuna baadhi ya watu wanageuza matakwa yao binafsi(kama ushoga)kuwa eti haki za msingi na ni utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…