Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tupe data za kuaminika na sio porojo zenu hizi za kila siku.Sector ya madini imeimarika sana katika kipindi hiki cha miaka 5
Watu wamekula hela kwenye vikao vya kufanya mazungumzo yaliyochukua miezi kadhaa halafu hakuna la maana tunaloliona.Yale yalikuwa maZingZong ya jiwe yalioongozwa na steering wake mzee wa jalalani ambaye siku hizi hasikiki tena.
Muulize tundu lisu ana majibu.Serikali ya awamu ya tano ilitumia nguvu na rasilimali kubwa ya nchi ikiwamo rasilimali fedha kuwatumia Acacia na kuingia mkataba na Barrick (wanaume) na tukapewa matumaini makubwa kuwa Barrick wataleta mapinduzi katika sekta ya madini hapa nchini.
Sasa ikiwa ni takribani miaka miwili kama sio mitatu tangu tufanye makubaliano ya kizalendo na wanaumia wa Barrick na miaka takribani minne tangu tusitishe wizi wa Acacia, sisi kama nchi tumepata matokeo gani chanya baada ya kuingia mkataba wa kizalendo na Barrick?
Je, ndio yale yale ya Tanzania na uchumi wa gesi?
Wabongo wepesi wa kusahau hakuna mfano.
Eti kugawana faida nusu kwa nusu! Vichekesho vya kwenye hadithi za abunwasi.Serikali ya awamu ya tano ilitumia nguvu na rasilimali kubwa ya nchi ikiwamo rasilimali fedha kuwatumia Acacia na kuingia mkataba na Barrick (wanaume) na tukapewa matumaini makubwa kuwa Barrick wataleta mapinduzi katika sekta ya madini hapa nchini.
Sasa ikiwa ni takribani miaka miwili kama sio mitatu tangu tufanye makubaliano ya kizalendo na wanaumia wa Barrick na miaka takribani minne tangu tusitishe wizi wa Acacia, sisi kama nchi tumepata matokeo gani chanya baada ya kuingia mkataba wa kizalendo na Barrick?
Je, ndio yale yale ya Tanzania na uchumi wa gesi?
Wabongo wepesi wa kusahau hakuna mfano.
Jiwe alisumbuliwa na ushamba pamoja mfumo usukumaWatu wamekula hela kwenye vikao vya kufanya mazungumzo yaliyochukua miezi kadhaa halafu hakuna la maana tunaloliona.
Nawe kajisomee upate ufahamu juu ya MIGA ili usiendelee wa kichekesho kama Jiwe.Muulize tundu lisu ana majibu.
Unakosea sana. Niko sector ya madini. JPM ameitendea haki na pesa nyingi sana inaingia serikalini.Jiwe alisumbuliwa na ushamba pamoja mfumo usukuma
hivi umeelewa kilichoulizwa ?Sector ya madini imeimarika sana katika kipindi hiki cha miaka 5
Tupe data za sasa na za hapo kabla.Unakosea sana. Niko sector ya madini. JPM ameitendea haki na pesa nyingi sana inaingia serikalini.
Watangulizi wake waliingia mikataba ya kijinga sana. JPM alikuwa na nia njema sana na sector ya madini. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni....
upe data za kuaminika na sio porojo zenu hizi za kila siku.
No wonder Prof.Asaad kaamua kuita watu fulani "mazuzu "!Ukitaka kucheka subiri Kabudi akueleze faida za huo mkataba. Utasikia faida yetu ni 16%, ila tunapata 50/50 ya gawio! Yaani sijawahi hata kumuelewa anasema nini. Sasa unajiuliza kama Profesa hawezi kueleza jambo likaeleweka, hapo utaamini kweli kuna faida yoyote ya maana?
No wonder Prof.Asaad kaamua kuita watu fulani "mazuzu "!
Kwani tumenyolewa kwa chupa na bila maji bwashee?Nawe kajisomee upate ufahamu juu ya MIGA ili usiendelee wa kichekesho kama Jiwe.