Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.