Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?Culture norms and historical background of a nation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?Culture norms and historical background of a nation
Daaah hapan mkuu apo itatokea bendera ya nchi nyngneUkichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
Hakika mkuudaaah hapan mkuu apo itatokea bendera ya nchi nyngne
Mkuu na mimi nakuuliza swali unaweza ukalianzishia uzi.Mkuu, this is a very good question. Ngoja jamaa aje kutupa jibu sahihi.
Sawa mkuu...Mkuu na mimi nakuuliza swali unaweza ukalianzishia uzi.
Rais Magufuli ni Mzalendo wa kweli na mpaka sasa hana mpinzani.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Vipi kuhusu Japan... Naonaga bendera yao iko simple mnooo.Nielewavyo mimi Bendera za nchi nyingi za zamani hasa Ulaya na Asia zinawakilisha Dini zao, kwa mfano Bendera karibia zote za Ulaya zina alama ya Msalaba kwa maana ya Ukristo, za Uarabuni zina Mwezi na Nyota.
Israeli nyota ya Daudi au star of david kwa Kiingereza, huku kwetu Afrika ni hivyo hivyo ukiondoa labda nchi mpya zetu za kusini mwa Jangwa la sahara ambapo hazina Historia ya ukristo au Uislamu, lkn kwa mfano Ethiopia bendera yao ina Nyota ya Daudi, na Ethiopia ina Historia na Ukristo wa zamani sana.
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ccm haiwezi kuiba kura, Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha lowasa na huyo msaliti wa Nchi.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
The flag of Japan ipo simple sana mkuuVipi kuhusu Japan... Naonaga bendera yao iko simple mnooo.
Yaani simple kabisa!!!The flag of Japan ipo simple sana mkuu
View attachment 1598061