Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Mbona unasema "Amen" mkuu?Ameen
Sawa bro.Ukijua maana ya rangi au nembo fln katika bendera bc utajua ni kwann zimetumika hapo
Okay, I can see that mkuu.Bendera ya tanzania kuna rangi ya njano ikiwakilisha madini mbalimbali N.k.
Mkuu, just curious, siku Majimbo yakiongezwa au kupunguzwa kwa namna yoyote ile. Je, na bendera itabadilishwa!?Ukijua maana ya rangi au nembo fln katika bendera bc utajua ni kwann zimetumika hapo
Mfano:
Bendera ya marekani ina nyota 50 ikiwakilisha majimbo yaliopo nchi nzima,
Bendera ya tanzania kuna rangi ya njano ikiwakilisha madini mbalimbali
N.k.
Hvy ukijua maana ndipo utajua ni kwann zimetumika hapo
----------------------------------------------------
Kuhusu mpangilio, wajuzi wa mambo waje waongezee
Ngoja kwanza....hiyo Aya ya mwisho kwahiyo hukubaliani na Lissu?Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Bavicha shida mnayo.Rangi na alama za taifa ni zakufikiria upya (mjadala wa kitaifa). Rangi za kimama sana na hatuwezi kumtumia twiga myama boya kabisa huko porini kuwa ni nembo yetu. kwanini asiwe Jaguar, simba, cobra, chui au mbwa mwitu. Hiyo coat of arms ina watu dhaifu kwanini haikuwekwa majambia, bunduki au ata kifaru basi, tuko lege lege sana
umuhimu wa bendera siuoniShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Bendera ni alama muhimu sana ya taifa.umuhimu wa bendera siuoni
Lissu hakuna kitu hata kimoja anaweza kuwa mbele ya Magufuli. Kipigo atachopewa October anaweza kuwachukia Watanzania wote.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?
View attachment 1590341
(1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti tofauti bado itaitwa ni bendera ya taifa?
(2) Katika rangi zote ikikosekana moja wapo bado itabaki kuwa ni bendera ya taifa.
(3) Hiyo picha hapo juu tunaweza kuiita kuwa ni bendera ya taifa ilhali rangi ya blue ipo juu badala ya kuwa chini?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kwani hapa ni kanisani?Ameen
BAVICHA inahusiana vp na mada hii mkuu?Bavicha shida mnayo.
Lissu anahusika vp katika mjadala huu?Ngoja kwanza....hiyo Aya ya mwisho kwahiyo hukubaliani na Lissu?
Bravo
Mkuu, this is a very good question. Ngoja jamaa aje kutupa jibu sahihi.Mkuu, just curious, siku Majimbo yakiongezwa au kupunguzwa kwa namna yoyote ile. Je, na bendera itabadilishwa!?