Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?

Mkuu, this is a very good question. Ngoja jamaa aje kutupa jibu sahihi.
Mkuu na mimi nakuuliza swali unaweza ukalianzishia uzi.
Kama Bendera ya Taifa la Tanzania ni ishara ya nchi kuwa huru,kwa nini zinashushwa jioni? Ina masna nchi yetu usiku haiko huru?....kama tuko huru kwa nini bendera isipepee muda wote masaa 24.

Ukitembelea ofisi za kimataifa utakuta bendera zingine hazishushwi ila yetu tu ndio inashushwa hii inanishangaza. Ni lipi lengo la utaratibu huu?
 
Rais Magufuli ni Mzalendo wa kweli na mpaka sasa hana mpinzani.
 
Vipi kuhusu Japan... Naonaga bendera yao iko simple mnooo.
 
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo.
 
Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.
 
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu.
 
Ccm haiwezi kuiba kura, Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha lowasa na huyo msaliti wa Nchi.
 
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…