Nini haswa kilichozuiwa kwenye wimbo wa Diamond ft Ryvanny "NYEGEZI"? Mbona unapigwa kila kona?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Nadhani BASATA they dont mean what they say, and say what they dont mean!

Tatizo ni wimbo usiimbwe na watungaji au usisike katika jamii? Maana kweye mabaa, music studios, maharusini, vyombo vya usafiri kote ni nyege nyegezi....

Hivi action ya BASATA kukagua wimbo na ku-censor inaanzia hatua gani? BEFORE, DURING or AFTER wimbo kutoka?
 
Kiufupi nyegezi baada ya kufungiwa,ndio ikazid kusambaa[emoji3]



Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kuna ile moja ya DIAMOND anasema WEKA MATE,,ITELEZE KAMA NYOKA PANGONI,, anaonyesha alama ya Kutema mate anapakaza kwenye tundu,,,nilikuwapo sehemu ya heshima nilikimbia,,hao jamaa wimbo ZAO zote matusi,,hata hyo TETEMA matusi matupu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii BASATA ibadilishwe jina iitwe KASHATA. wapenzi wa kula kashata mnisamehe.
 
Nyege,nyege,nyegezi kwetu mwanza nyegezi

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Nyimbo ukifungiwa.. n kuwa inafungiwa kupigwa katika media TV na RADIO na sio mtaani
 
Nyimbo ukifungiwa.. n kuwa inafungiwa kupigwa katika media TV na RADIO na sio mtaani
Sio kweli,nyimbo ikifungiwa haitakiw hata kupigwa mtaani,..kaskilize vzur Basata walisemaje kuhusu nyegezi

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kwenye media tu nadhani maana mtaani kuanzia bodaboda,daladala na bajaji nikama kawaida
 
Sio kweli,nyimbo ikifungiwa haitakiw hata kupigwa mtaani,..kaskilize vzur Basata walisemaje kuhusu nyegezi

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
basata haiwez regulate mtaaa ata siku moja. Ndo mana inadeal na major outlet
 
basata haiwez regulate mtaaa ata siku moja. Ndo mana inadeal na major outlet
Hujaelewa,basata ikifungia nyimbo,basi hiyo ngoma inafungwa hadi mtaani,sasa basata haifanyi kazi peke yake.

Basata kupitia vyombo kama police wana weza mkamata hata boda boda ataekua anapita anapiga nyimbo iliyo fungiwa.
Sema kwa sasa hakuna seriousness tu ndiomana unaona nyimbo kama mwanza bado ipo mtaani.

Ila kisheria ,usishangae unakamatwa mtaani kwenu kwa kupiga hiyo nyimbo.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Technology ndio inawacost basata walitaka sana ile nyimbo ifungiwe kila kona lakini wapiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…