mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Madau wa michezo hebu mtueleze nini kitampata mtu aliyefungiwa na taasisi yetu ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini TFF kujihusisha na mchezo huo kwa kipindi fulani let's say mwaka au miaka mitano au hata maisha, mtu huyo akikaidi na kuendelea kujihusisha na mchezo huo, Je TFF wanaweza kumchukulia hatua zipi zaidi?