Nini hatima endapo mtu atakaidi adhabu ya TFF

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Madau wa michezo hebu mtueleze nini kitampata mtu aliyefungiwa na taasisi yetu ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini TFF kujihusisha na mchezo huo kwa kipindi fulani let's say mwaka au miaka mitano au hata maisha, mtu huyo akikaidi na kuendelea kujihusisha na mchezo huo, Je TFF wanaweza kumchukulia hatua zipi zaidi?
 
Huyo ni wakuurumiwa tuuu.
Amebeba bomu anatamani kunitoa mhanga.
 
Huyo ni wakuurumiwa tuuu.
Amebeba bomu anatamani kunitoa mhanga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Kwaio mkuu hivi vifungo vinavyohusu hawa watu ambao hawashiriki kabumbu Moja Kwa Moja ni danganya toto tu? TFF hawana hayo meno kama wanavyojidai kuwa nayo?
 
TFF HAWANA POLISI WALA MAHAKAMA YA JAMII ILA WANA MAHAKAMA YA KARIA
 
Madau wa michezo hebu mtueleze nini kitampata mtu aliyefungiwa na taasisi yetu ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini TFF kujihusisha na mchezo huo kwa kipindi fulani let's say mwaka au miaka mitano au hata maisha, mtu huyo akikaidi na kuendelea kujihusisha na mchezo huo, Je TFF wanaweza kumchukulia hatua zipi zaidi?
Taasi inayompa platform inashushiwa adhabu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano wewe kama sagai galgano upigwe mvua ya maisha kujihusisha na soka, ukakaidi na kendelea kujihusisha kama hivi kuchambua soka humu jukwaani, kuliongelea kweny media nk... Hivi hao TFF watakufanya nini? Ukiitisha mkutano media zitakazokupa airtime zitapigwa ban na TFF?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Kwaio mkuu hivi vifungo vinavyohusu hawa watu ambao hawashiriki kabumbu Moja Kwa Moja ni danganya toto tu? TFF hawana hayo meno kama wanavyojidai kuwa nayo?
Kwa uyo ni tofauti kutokana na hali yake. Atabweka mwisho sauti itapotea.
 
Maana yake taasisi yeyote ya michezo isimhusishe kwenye Mambo ya mipira ,lakin yeye anauwezo wa kuendelea kufuatilia mpira kimpango wake ,kuangalia game ,kuzichambua na kuongelea mpira ......
 
Kwa mfano wewe kama sagai galgano upigwe mvua ya maisha kujihusisha na soka, ukakaidi na kendelea kujihusisha kama hivi kuchambua soka humu jukwaani, kuliongelea kweny media nk... Hivi hao TFF watakufanya nini? Ukiitisha mkutano media zitakazokupa airtime zitapigwa ban na TFF?
Maana yangu ni kama vile Haji Manara alivyofanya utambulisho wa wachezaji wa Yanga siku ya mwananchi,Yanga walimpa jukwaa kufanya jambo ambalo amefungiwa kulifanya. Hayo ya kwenye mitandao na kama alivyofanya kwenye video aliyojirekodi kule Arusha hapo hawana cha kumfanya kwa vile alikuwa anajiongelesha mwenyewe tu.

Back
Top Bottom