mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Huyo ni wakuurumiwa tuuu.Madau wa michezo hebu mtueleze nini kitampata mtu aliyefungiwa na taasisi yetu ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini TFF kujihusisha na mchezo huo kwa kipindi fulani let's say mwaka au miaka mitano au hata maisha, mtu huyo akikaidi na kuendelea kujihusisha na mchezo huo, Je TFF wanaweza kumchukulia hatua zipi zaidi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Kwaio mkuu hivi vifungo vinavyohusu hawa watu ambao hawashiriki kabumbu Moja Kwa Moja ni danganya toto tu? TFF hawana hayo meno kama wanavyojidai kuwa nayo?Huyo ni wakuurumiwa tuuu.
Amebeba bomu anatamani kunitoa mhanga.
Kwaio zile kauli zao za kumfungia mtu maisha asijihusishe na soka ni kauli za kijuha tu mzeeTFF HAWANA POLISI WALA MAHAKAMA YA JAMII ILA WANA MAHAKAMA YA KARIA
Taasi inayompa platform inashushiwa adhabuMadau wa michezo hebu mtueleze nini kitampata mtu aliyefungiwa na taasisi yetu ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini TFF kujihusisha na mchezo huo kwa kipindi fulani let's say mwaka au miaka mitano au hata maisha, mtu huyo akikaidi na kuendelea kujihusisha na mchezo huo, Je TFF wanaweza kumchukulia hatua zipi zaidi?
Kwa mfano wewe kama sagai galgano upigwe mvua ya maisha kujihusisha na soka, ukakaidi na kendelea kujihusisha kama hivi kuchambua soka humu jukwaani, kuliongelea kweny media nk... Hivi hao TFF watakufanya nini? Ukiitisha mkutano media zitakazokupa airtime zitapigwa ban na TFF?
Kwa uyo ni tofauti kutokana na hali yake. Atabweka mwisho sauti itapotea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Kwaio mkuu hivi vifungo vinavyohusu hawa watu ambao hawashiriki kabumbu Moja Kwa Moja ni danganya toto tu? TFF hawana hayo meno kama wanavyojidai kuwa nayo?
Maana yangu ni kama vile Haji Manara alivyofanya utambulisho wa wachezaji wa Yanga siku ya mwananchi,Yanga walimpa jukwaa kufanya jambo ambalo amefungiwa kulifanya. Hayo ya kwenye mitandao na kama alivyofanya kwenye video aliyojirekodi kule Arusha hapo hawana cha kumfanya kwa vile alikuwa anajiongelesha mwenyewe tu.Kwa mfano wewe kama sagai galgano upigwe mvua ya maisha kujihusisha na soka, ukakaidi na kendelea kujihusisha kama hivi kuchambua soka humu jukwaani, kuliongelea kweny media nk... Hivi hao TFF watakufanya nini? Ukiitisha mkutano media zitakazokupa airtime zitapigwa ban na TFF?