Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Jamani ile ni ofisi ya mbunge wa Urambo Mashariki ambayo ilijengwa wakati Sitta akiwa ni spika. Kam mnakumbuka kulianzishwa kile kitu kinaitiwa mfuko wa maendeleo ya jimbo ambayo ilipata upinzani mkubwa lakini ikapita mwa mizengwe kibao. Hapo jamaa ndio alitumia kujengea.
 
Ofisi ya Spika Urambo iligharimu milioni 170 ambazo CAG hajathibitisha! Gharama za uendeshaji wa Ofisi hiyo Ikoje? zinalipiwa na nani?... Pengine Sitta alitakiwa kuwa Jella Muda huu ...
 
Sasa nimeamini kwa nini sitta akisikia nafasi ya uspika anasisimka, ni kweli kwamba haitumiki na kwamba ametundika mizinga ya nyuki na sehemu nyingine anahifadhi tumbaku,japo ofisi ilijengwa kwa milioni 170? Cc@MT KILIMANJARO
 
Mambo yanayotendeka TZ yangetokea China ni kunyongwa tu. Sitta alipaswa kuwa marehemu sasa. Cha ajabu marehemu anautafuta urais. This is possible ONLY in TZ!.
 
Nchi ya vibaka nchi isiyo kuwa na macho nchi ya majizi ccccm
 
proxy-1.jpg
proxy.jpg
Huyu mhe (rip) alijenga ofisi ya spika jimboni kwake urambo,inatumika kwa shughuli gani?

napendekeza ifanywe dispensary au itafutiwe matumizi mengine ya umma
 
Weka picha tuone kama inafaa kuwa zahanati au chekechea au ofisi za chama
 
Back
Top Bottom