Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Ndege ziende huko bila abiria. Kile cha Mpanda nasikia vijana wanafanyia mazoezi ya mpira. Sijui ni porojo?

Nafkiri upembuzi yakinifu haukufanyika.
Hivi mpanda unapeleka commercial charter,ama Chato,unapandisha watu,watalii ama kitu gani?

Okay,watu wenyewe hawarusi kwao wakishafika mjini?
Bora wachagga wao wanarudi kwao
 
Nafkiri upembuzi yakinifu haukufanyika.
Hivi mpanda unapeleka commercial charter,ama Chato,unapandisha watu,watalii ama kitu gani?

Okay,watu wenyewe hawarusi kwao wakishafika mjini?
Bora wachagga wao wanarudi kwao
Na hile ofisi ya tra ..duh kweli kila mtu anapapenda kwao alakini sio kwa staili hii.
Hivi kwa walio fika huko kwa sizonje life expectancy ikoje jamani mpaka wanawekewa uwanja wa ndege kubwa hivyo?
 
Tunasubiri tuone ule uwanja utakuwa nini baada ya kutoka pale! Au ndio MMobutu style? Liuwanja lote la nini?? Vipi Butiama kuna nini zaidi Kaburi na nyumba?? Si angeweka hadi ziwa lifike huko??? Ubinafsi na visasi vimetawala.............
 
Hiyo ni nyumba ya familia ya Sitta. Mambo mengine ya nchi hii majibu yake mpaka Yesu akirudi!!
 
Nadhani hiyo haikuwa ofisi ya spika Bali ni ofisi ya mbunge wa urambo! Ndivyo inavyosomeka hata kwenye uzinduzi wake!
Daima urambo itakuwa na mbunge na ndiye atakayekuwa anaitumia.
Halafu mbona ni ofisi ya kawaida tu! Inabidi kila jimbo iwepo!
 
Bado MTU atakushawish ccm kuna WCB
 
Hizi siasa ngumu sana kuzielewa ndugu yangu. Mi nilienda Urambo mwaka 2010 nikaikuta hiyo ofisi cha kushangaza hakuna activity zozote zinazoashiria kuwa hiyo ofisi iko active.
Ilikua ni bad expenditures kwa government kujenga hiyo ofisi. Maswali yako ni ya msingi sana kwa upande wa pili wa shilingi. Wasiwasi wangu ni kwamba haya maswali hata yakipelekwa bungeni hakuna majibu ya msingi yatakayotolewa. Tugange yajayo
Hii ni ofisi ya mbunge siyo ya spika! Sema tu kwa kuwa mbunge Sitta alikuwa pia ni spika watu wakasema ni ofisi ya spika!
Leo inabidi iendelee kutumiwa na mbunge wa urambo!
 
Viongozi wetu wa kiafrika hutafuta utukufu kwa gharama yoyote bila kujua kuwa hakuna atayeishi milele, wengine hudhani watakuwa Leaders for life..
 
Nashauri itumike kama ofisi ya Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa, Afisa Mtendaji au Katibu Tarafa. Ikikaa bila kutumika itakuwa nyumba ya Popo na tutapata kazi ya kuamsha na kufukuza popo ambao ni VIKOJOZI waliobobea!😛😛😛😛😛
 
Mkuu uko Nchi gani wewe? Mzee Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni mwake mpaka leo sijui huyu Mzee alikuwa anafikiri nini, lakini ndivyo Viongozi wa Afrika walivyo maana hata Gaddaffi alijenda Makao makuu ya AU kjiji kwao Siirte
Hakujenga yeye ila ni serikali
 
Kwa vile yeye atakaa milele kwenye kiti cha Spika.
Salam kwa ndugai
 
Kuna wakati bunge la JMT lilijenga ofisi ndogo ya Spika kule Urambo mkoani Tabora, wakati ule Spika alikuwa rip Sitta, Naibu Spika mama Makinda, KUB Hamad Rashid na KUB msaidizi Dr Slaa.

Nauliza tu kama ile ofisi bado inafanya kazi?

Kama haitumiki ni vema ikageuzwa kuwa zahanati wananchi wahudumiwe.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom